Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na nie unaweza kukuta gharama za ndani nikubwa sana isipokuwa tu zina faida kwamba ziliingia kwenye mzunguko wa ndani. Waliosafiri nje zilikwenda kwenye mzunguko wa ndani na nje.
Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.
Compare and contrast
Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.
Compare and contrast