Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

Ma SiAiGii,Mara TiPiEi,Mara EiTiCiElo,Mara BiOTii,Mara Msafara,Which Is Which Today......
 
Hatuna raisi wa awamu ya tano..... Tunaye sasa raisi wa 6.....
 
Kaka hii ni Jamii"Uchaga"Forums hata hawajitambui
Hivi mbona mnachuki Sana na wachaga, wamewakosea Nini?

Mada hapo juu ni tofauti na unachokileta yaani chuki kwa wachaga wamekukosea Nini.

Vinginevyo moderaters watu Kama Hawa wape ban
 
Gari 30+ ni matumizi makubwa sana

Per diem ya waliopo msafarani

Mafuta kwa gari zote ni milions halafu unaenda kuzindua mradi wa 200M umetumia 120K
Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???

Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.

Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!

Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.

Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.

Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.

Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..

Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
 
Hivi mbona mnachuki Sana na wachaga, wamewakosea Nini?

Mada hapo juu ni tofauti na unachokileta yaani chuki kwa wachaga wamekukosea Nini.

Vinginevyo moderaters watu Kama Hawa wape burn
Unamaanisha ban
 
Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???

Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.

Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!

Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.

Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.

Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.

Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..

Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
Hawana agenda ya maana ni vijembe na kuropoka tu
Mwanzoni nilikuwa nawaona wa maana kumbe ni madebe matupu
 
Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???

Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.

Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!

Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.

Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.

Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.

Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..

Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
Hebu tokaa nje ya "shell" uliyovaa akilina halafu soma tema ulichoandika

Utafanya watu wakudharau kama hujaelewa ulichoandika bira ufute haraka
 
Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na nie unaweza kukuta gharama za ndani nikubwa sana isipokuwa tu zina faida kwamba ziliingia kwenye mzunguko wa ndani. Waliosafiri nje zilikwenda kwenye mzunguko wa ndani na nje.

Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.

Compare and contrast
Jamani mbona mmeamua kumsema Marehemu hata kabla hajaoza?
 
Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???

Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.

Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!

Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.

Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.

Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.

Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..

Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
He! Unatumia 39m kwa siku?
Ni 3900 kwa siku, umekosea kuandika![emoji1787]
 
Mzalendo
Anayedai anapendwa, analindwa na mamitambo meeengi
Alitembea ardhini na Mavieitee kibao akisindikizwa na mizinga ya jeshi, juu alisindikizwa na chopa.

Huyo ndio alikuwa Rais wa Wanyonge aliyeandika historia ya kuzima katikati ya Safari.
 
He! Unatumia 39m kwa siku?
Ni 3900 kwa siku, umekosea kuandika![emoji1787]
Hapana Mkuu ukweli kabisaa!! Magari yangu yanapoondoka nagawa posho kwa wafanya kazi wote kulingana na mafaraja yao na kabla ys kuondoka lazima wale kaftelia ya ofisini kwangu kwa gharama zangu.

Hapo bado familia zao zinapata mgao wa resheni kwangu!!

Bado jioni service kwa magari yanayo toka masafa
Sijaambiwa hapo gari kubaribika njiani.
 
Back
Top Bottom