Zilitolewa na serikali ipi?. Mlidumisha ubadhirifu kwa manufaa yenu ili wasiojielewa wasijue mnachokifanya.Mbowe alikunja hela zote za ruzuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilitolewa na serikali ipi?. Mlidumisha ubadhirifu kwa manufaa yenu ili wasiojielewa wasijue mnachokifanya.Mbowe alikunja hela zote za ruzuku
Wapi hapa pazuri namna hiiView attachment 1736930
Msafara wenye amani bila macomandoo kama wote wala grenade
Hela za kampeni mlipata wapi?Zilitolewa na serikali ipi?. Mlidumisha ubadhirifu kwa manufaa yenu ili wasiojielewa wasijue mnachokifanya.
Hivi mbona mnachuki Sana na wachaga, wamewakosea Nini?Kaka hii ni Jamii"Uchaga"Forums hata hawajitambui
Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???Gari 30+ ni matumizi makubwa sana
Per diem ya waliopo msafarani
Mafuta kwa gari zote ni milions halafu unaenda kuzindua mradi wa 200M umetumia 120K
Unamaanisha banHivi mbona mnachuki Sana na wachaga, wamewakosea Nini?
Mada hapo juu ni tofauti na unachokileta yaani chuki kwa wachaga wamekukosea Nini.
Vinginevyo moderaters watu Kama Hawa wape burn
Hawana agenda ya maana ni vijembe na kuropoka tuMahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???
Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.
Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!
Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.
Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.
Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.
Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..
Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Umesahau helicopter juu ikifuatilia msafara
Hebu tokaa nje ya "shell" uliyovaa akilina halafu soma tema ulichoandikaMahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???
Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.
Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!
Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.
Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.
Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.
Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..
Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
Duuh...!Nachoshukuru shetani limekufa
Jamani mbona mmeamua kumsema Marehemu hata kabla hajaoza?Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na nie unaweza kukuta gharama za ndani nikubwa sana isipokuwa tu zina faida kwamba ziliingia kwenye mzunguko wa ndani. Waliosafiri nje zilikwenda kwenye mzunguko wa ndani na nje.
Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.
Compare and contrast
He! Unatumia 39m kwa siku?Mahesabu ya kishamba sana. Nasema...umaskini bana kitu kibaya sana tabu sana.mie natumia million 39 kwa siku na familia yangu. why not Rais???
Acheni hizo ndo matumizi ya ikulu. Hamchoki ?? akikaa ooh Rais hatembei. Mzembe ansogopa watu. Hsjui kingredha!!! Mmezidi udwanzi.pumbaf zenu.
Hayaaa amepunguza kula kona huko Duniani bado mko nae tu amezidi kutumia nchini nchini. nchini.heee!!
Haya samia akipunguza safari za ndani mtaanza anakula sana ugali milo mitatu ohh!! ulaji umemzidi.
Akipunguza mlo mtaanza ulinzi umezidi.
Akipunguza idadi ya ulinzi.mtaanza kujidai kumezidi.
Akipunguza majidai oooh Rais mzembe!
Akipunguza uzembe ooh!huyu rais Dikteta binadamu!!! .jua kuwa hata kaa aridhike hata siku moja. i sipokuwa mimi tu.
Cha msingi hapa nimegundua ni kata funua mnabaki peke yenu nimewachoka sasa..
Kikwete ndo alijua kuishi na minafiki.
Ina maana wale makomandoo wa Rwanda kibarua kiliota nyasi siku hiyo hiyo Magu amedanja? Kweli dunia siyo fair kabisa!!View attachment 1736930
Msafara wenye amani bila macomandoo kama wote wala grenade
Ikulu ya chamwino apo kama sijakoseaWapi hapa pazuri namna hii
Alitembea ardhini na Mavieitee kibao akisindikizwa na mizinga ya jeshi, juu alisindikizwa na chopa.Mzalendo
Anayedai anapendwa, analindwa na mamitambo meeengi
Hapana Mkuu ukweli kabisaa!! Magari yangu yanapoondoka nagawa posho kwa wafanya kazi wote kulingana na mafaraja yao na kabla ys kuondoka lazima wale kaftelia ya ofisini kwangu kwa gharama zangu.He! Unatumia 39m kwa siku?
Ni 3900 kwa siku, umekosea kuandika![emoji1787]