Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na nie unaweza kukuta gharama za ndani nikubwa sana isipokuwa tu zina faida kwamba ziliingia kwenye mzunguko wa ndani. Waliosafiri nje zilikwenda kwenye mzunguko wa ndani na nje.

Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.

Compare and contrast
Mzee alikua na ulinzi si wa kitoto
 
Hapana Mkuu ukweli kabisaa!! Magari yangu yanapoondoka nagawa posho kwa wafanya kazi wote kulingana na mafaraja yao na kabla ys kuondoka lazima wale kaftelia ya ofisini kwangu kwa gharama zangu.

Hapo bado familia zao zinapata mgao wa resheni kwangu!!

Bado jioni service kwa magari yanayo toka masafa
Sijaambiwa hapo gari kubaribika njiani.
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe ni mhaya ?
 
Gharama za misafara ya JPM ardhini ni kufuru. Gali la TBC LIVE. Security ya mitambo maalum. Majeshi Maalum kama watu 40. TISS 50 hivi. Polisi 60. Magari ya wakuu wa Mikoa, Idara, Wakurugenzi kama gari 30. Katupiga loss sanaaa
 
Na ambulance juu kwenye huo msafara na roli la jeshi juu .ahaaaaa tukikutana mbinguni nitakutania sana
 
Hapana Mkuu ukweli kabisaa!! Magari yangu yanapoondoka nagawa posho kwa wafanya kazi wote kulingana na mafaraja yao na kabla ys kuondoka lazima wale kaftelia ya ofisini kwangu kwa gharama zangu.

Hapo bado familia zao zinapata mgao wa resheni kwangu!!

Bado jioni service kwa magari yanayo toka masafa
Sijaambiwa hapo gari kubaribika njiani.
Duuuh....!
 
Hakika mkuu
Vyote havifai..., Matumizi mabaya ni mabaya tu....

Kumbuka pia nje mtu haendi peke yake..., bali kuna wasaidizi wenye wasaidizi...., Misafara pia sio gharama za matumizi tu.., bali kero na kusimama kwa shughuli za watu za kila siku (jambo ambalo muhusika angeweza kufikisha ujumbe akiwa studio TBC)
 
Back
Top Bottom