Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kafa John Kijazi, kafa JPM wote ikulu moja kwà muda mfupi. Kulikuwepo na ulinzi hapo sasa?Mzalendo
Anayedai anapendwa, analindwa na mamitambo meeengi
Wa CHADEMA ulikuwaje?Kwenye kampeni msafara wa mgombea urais wa ccm ulikuwa na magari four wheel drive 65 bado helicopter
Bado wakaiba kura nchi nzimaKwenye kampeni msafara wa mgombea urais wa ccm ulikuwa na magari four wheel drive 65 bado helicopter
Kaka hii ni Jamii"Uchaga"Forums hata hawajitambuiLeta mgawanyo wa hizo safari,substantiate unachokisema ,tusiende kwa hisia
Mbowe alikunja hela zote za ruzukuWa CHADEMA ulikuwaje?
Umesahau helicopter juu ikifuatilia msafaraGari 30+ ni matumizi makubwa sana
Per diem ya waliopo msafarani
Mafuta kwa gari zote ni milions halafu unaenda kuzindua mradi wa 200M umetumia 120K
Mmetumwa muanzishe nyuzi nyingi leoNimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na nie unaweza kukuta gharama za ndani nikubwa sana isipokuwa tu zina faida kwamba ziliingia kwenye mzunguko wa ndani. Waliosafiri nje zilikwenda kwenye mzunguko wa ndani na nje.
Niwaombe wachambuzi wetu watusaidie kukokotoa ulinganifu wa gharama hizi ili watawala wajue ubaweza kukwepa gharama kwa njia hii ukatumia zaidi kwa njia ile.
Compare and contrast
Bado wakaiba kura nchi nzima