Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

Mzee alikua na ulinzi si wa kitoto
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe ni mhaya ?
 
Gharama za misafara ya JPM ardhini ni kufuru. Gali la TBC LIVE. Security ya mitambo maalum. Majeshi Maalum kama watu 40. TISS 50 hivi. Polisi 60. Magari ya wakuu wa Mikoa, Idara, Wakurugenzi kama gari 30. Katupiga loss sanaaa
 
Na ambulance juu kwenye huo msafara na roli la jeshi juu .ahaaaaa tukikutana mbinguni nitakutania sana
 
Duuuh....!
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…