Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

Ndugu ukiji underate wewe kama fundi mchundo. usiwa underate wenzako unasema ERB wanaingiaje hapo kwakweli huelewi hata industry yako. ERB ndo wanarecognize kazi zote za kitaalamu za uhandisi hapa Tanzania ndio maana mafundi mchundo wanatambulika na ERB kimajukumu yao na ngazi walio kuwa nazo na aina ya kazi wanazotakiwa kuzifanya kutokana na ngazi walizo nazo na experience ya miradi walio nayo.

sio ajabu hata hujui umuhimu kama fundi mchundo kuwa registered na bodi ya ERB.
sijui chuoni huwa mnaenda kufanya nini. nenda angalia kazi anazo ruhusiwa kufanya senior civil technician kutokana na standards za ERB alafu ndo uje ukoment hapa kwamba akifanya mradi wa gorofa utadondoka
Fundi mchundo ndo watendaji wakuu hao wote ma engineer, Qs na architects ni designing team ila watendaji wakuu ni technicians. kila mtu ana play part yake kusema kwamba fundi mchundo anaweza kufanya kazi zote sio kwamba nimewaoondoa kimajukumu wengine ila kuna sehemu fundi mchundo anaishia na engineer anaanzia hapo. lakini sio kusema sio mtaalamu.

Narudia kusema hivi. sheria inaruhusu fundi mchundo, kuchora ramani, kufanya Boq n.k. ila chini ya uangalizi wa engineer, architects and Qs
Ni hivi. Mtu yeyote anaweza kuchora ramani. Sio lazima awe ameenda shule. Lakini ili ramani hiyo iweze kutumika ni lazima ipitishwe na mtaalam aliyesajiliwa. Bila kupitishwa thamani yake ni karatasi iliyochorewa.

Mimi sikatai umuhimu wa Fundi Mchundo lakini siwezi kujibalaghua kuwa mimi na Trade Test yangu ni sawa na Mhandisi.
ERB inasimamia taaluma za uhandisi. Ili utambulike kama mhandisi kamili ambae anaweza kupitisha michoro ni lazima wakuandikishe kama Consultant na uwe na leseni ya ku practice. Hata ambae amemaliza chuo kikuu haruhusiwi.

Dawa pekee ya Fundi Mchundo kuwa sawa na hao wenye taaluma zao ni kufanya mitihani na kupasi mitihani ya ERB na AQRB. Kwamba amehusika katika kusimamia jengo hakumgeuzi kuwa mhandisi. Niambie wapi katika bango la mradi ametajwa Senior Technician, na kama ana haki ya kupitisha malipo kama msimamizi wa mradi. Niambie ERB na AQRB wanapokuja kukagua mradi wanaangalia uwepo wa taaluma zipi na nani ana weza kutoa instruction kwa mkandarasi?

Mtu ambae anamsamia mgonjwa kwa karibu ni nesi. Lakini husikii hata siku moja anaitwa "daktari" au anaandika prescription. Huko mtaani utakuta wanaitwa Dr na wanafanya diagnosis lakini haiwageuzi kuwa madaktari.
Kujua kuchora, ku take off miradi midogo midogo, kujua ku set nyumba n.k. hakukugeuzi kuwa mhandisi. Kama unaamini hivyo inajidanganya. Uzuri tu ni kuwa nchini kwetu watu wengi hawajui tofauti na hivyo kuwapa kazi. Mbaya zaidi ni wale wavivu wenye taaluma ambao wanauza mihuri na kuwafanya mjione mko sawa nao.

Sio dhambi kuwa Fundi Mchundo dhambi ni kuona aibu kuwa Fundi Mchundo na kutaka sifa za wahandisi n.k. Hilo ndio tatizo kubwa. Kila mmoja wetu ana nafasi yake katika mradi na anastahili heshima katika nafasi yake.

Ukweli ni kuwa nyumba nyingi zinajengwa na mafundi ambao hawajaenda darasini na wananchi wanazikubali. Lakini hiyo haina maana kuwa wakipata mtu aliyeenda shule anaweza kutoa ushauri bora zaidi.

Amandla...
 
Mkuu huu uzi umeutendea haki. Nilichogundua waTz wengi tunapenda shortcuts. Mfano wako wa clinical officers kujiita madaktari mtaani…upo mahala pake. Kiukweli kasumba ya kujipachika vyeo visivyo vyetu imekuwa kwa kasi sana. “Dr” Musukuma nk.
 
Back
Top Bottom