Gharama za umalaya...

Unajua maana ya opportunity cost?
Making decision in life the OPPORTUNITY COST must be the base.

#YNWA
 
Kilimo cha kwenye makaratasi rahisi sana kutoboa.
Inawezekana kutoboa kwa kilimo kuliko kazi za mitaani...itachukua muda kidogo lakini lazima utoboe,hata maisha mengine unayo fanya kweni kutoboa ni rahisi?isipokua kutoboa kwa kilimo ni kukubwa kuliko unavyo fikiri
 
Firstly nikupongeze na kukutia moyo brother. Pale wasomi mnapoamua kuacha office na kushika jembe huwa nafarijika sana. But kwa maelezo yako unaonekana umli umesogea kidogo si chini 28/30 is better ukaowa mkuu. Ni vizuri kuacha Ngono . Sema mwisho umenichanganya ulipoleta siasa
 
Kabla sijaingia nilisoma kilimo kwa miaka mi4 (elimu mitaani).
Nilianza kusoma kilimo 2015 kwa kuongea na raia pamoja na kuingia field kwenye mashamba ya watu.
Na 2019 nikaingia kwenye game.

Japo life is uncertain ila naamini nitafanikiwa tu.

#YNWA

Kaka mimi nime plan, nikalime mihogo mkoa wa pwani, naomba ushahuri kwa hili, hasa kuhusu masoko etc...

Inaonekana wew una experience kwenye sector ya Kilimo.
 
Ni afadhari mninyonge ila papuchi siachi , kazi na bata
 
Kama hajaelewa hapa basi tena
 
Umeumizwa kwenye mahusiano, pole kwa hilo, utakua sawa tu,
Piga kazi uoe, uenjoy maisha ya dunia.
 
Mwanzo wa kilimo mbwembwe kama zako kawaida sana, kikubwa punguza machepele kijana!
 
Mashamba yako unalimia sehemu gani mkuu?
 
Mwanzo wa kilimo mbwembwe kama zako kawaida sana, kikubwa punguza machepele kijana!
Nimeanza kilimo 2015 ni mwaka wa 5 sasa.
Nimeshalima maharage... Mpunga, miti ya mbao na sasa nipo na Miti ya matunda.

What is your definition of mwanzo?

#YNWA
 
Umeumizwa kwenye mahusiano, pole kwa hilo, utakua sawa tu,
Piga kazi uoe, uenjoy maisha ya dunia.
Kuumizwa ni kawaida kwa maisha ya sasa..
Na swala sio kuumizwa swala ni opportunity cost.

Kama kuoa ndio kuenjoy maisha unataka kuniambia kuwa Bezos na Dangote wasio na ndoa HAWA ENJOY?

Live your life. The happiness is on your head.
NO ONE CAN BRING IT.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…