Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
- #41
Ni muendelezo wa thread liyopita...Hongera, ila Gharama za umalaya ni zipi hapo Mkuu..? na ni malaya wa wapi..?
Title ya Uzi inachanganya
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muendelezo wa thread liyopita...Hongera, ila Gharama za umalaya ni zipi hapo Mkuu..? na ni malaya wa wapi..?
Title ya Uzi inachanganya
Unajua maana ya opportunity cost?Chaputa hoyee..
Kila kitu kina umuhimu wake kwenye maisha. Sasa usile mbunye akili zikuruke sababu ya nyege, uanze kuzurura hovyo barabarani ugongwe na gari afu ufe. Ndugu zako wakiuza hayo Maparachichi pesa wakipata wanaenda kununulia mbunye wana enjoy maisha. Na kaburi lako hawalijengei.
Money creates problems.Ukiwa hauna hela wenye papuchi hauwaoni
Ukizipata tu daahh ... Wanakuja kibao kukufuata fuata yaani sijui huwa wanaambiana
Inawezekana kutoboa kwa kilimo kuliko kazi za mitaani...itachukua muda kidogo lakini lazima utoboe,hata maisha mengine unayo fanya kweni kutoboa ni rahisi?isipokua kutoboa kwa kilimo ni kukubwa kuliko unavyo fikiriKilimo cha kwenye makaratasi rahisi sana kutoboa.
Kabla sijaingia nilisoma kilimo kwa miaka mi4 (elimu mitaani).
Nilianza kusoma kilimo 2015 kwa kuongea na raia pamoja na kuingia field kwenye mashamba ya watu.
Na 2019 nikaingia kwenye game.
Japo life is uncertain ila naamini nitafanikiwa tu.
#YNWA
Kama hajaelewa hapa basi tenaChaputa hoyee..
Kila kitu kina umuhimu wake kwenye maisha. Sasa usile mbunye akili zikuruke sababu ya nyege, uanze kuzurura hovyo barabarani ugongwe na gari afu ufe. Ndugu zako wakiuza hayo Maparachichi pesa wakipata wanaenda kununulia mbunye wana enjoy maisha. Na kaburi lako hawalijengei.
More money ..more problemsMoney creates problems.
#YNWA
Hili swali lijibiwe
Mashamba yako unalimia sehemu gani mkuu?Opportunity Cost ya kufanya umalaya ni hii hapa.......
Unakumbuka nilipost thread ya kuelezea kwanini utumie pesa mingii sababu ya just one night eti kisa mbunye..!!!
Sasa instead ya KUHONGA Fanya hivi....
1. Kusanya (save) zile pesa unazotumia kula papuchi na kuhonga.
2. Punguza matumizi yasio na lazima.
3. Na mwisho wa siku INVEST.
Kifupi kuwa cost conscious (economist) and not miser.
Mfano:-
Mimi nime invest kwenye kilimo cha Parachichi (nina eka 15 za Hass avocadoes).
Malengo ni eka 100 mwaka 2025, then nina miaka 6 ya kupanda mfululizo.
Japo kuvuna bado sanaa (nimeanza mvua hizi zilizopita), ila mpaka sasa nina mteja mmoja (kampuni ya Ku export).
Wakati naanza alikuja kunitembelea kuona my project na kuahidi kunipa soko, pia kuna mteja mwengine/mzungu bado sijamfata (nataka kumfata mwakani niongee nae).
Then kwenye mambo ya soko muda ukifika nitaweka mizani wateja wotee na kuona nani ana offer best price.
Nimeamua kuyapa MAPENZI LIKIZO na kwasasa NAPAMBANIA KOMBE ""My Future"" maana niliona ajira ya serikali HAITONIFIKISHA KOKOTEE zaidi ya kuwa kuhadi wa CCM.
Pamoja na Masters yangu niliyoitumikia serikali ya CCM ila nimeamua kuachana nao na kuingia shambani.
PAPUCHI na LOVE RELATIONSHIP NIMEZIPA LIKIZO....
Sio kwamba sihitaji partner ila nahisi wanawake watanichelewesha na pia nazipenda sanaa hela zangu na ndio maana kila cent nikiipata naitupia shambani.
Hebu fikiria.....
Mara imetokea nahitaji mbolea na muda huohuo baby nae anataka hela ya kusuka HUONI hapa kutakua na element za kucheleweshana?
Hujachelewa na MAAMUZI NI YAKO kijana mwenzangu.
Kwa MSIOKIPENDA KILIMO NA MNAKIPONDA KILA SIKU, NITAKUJA NA THREAD ""KWANINI UNAFELI KWENYE KILIMO""
ETI...
Kikao cha kuteua majina ma5 kinaendelea, ila first figure si alishasema majina anayomfukoni?
Kupita kwako itategemea siku hiyo ameamkaje.
Sasa kule kwenye kikao wameenda kula tu posho au kuzurura, maana majina first figure anayo.
#YNWAView attachment 1497427View attachment 1497441
Nimeanza kilimo 2015 ni mwaka wa 5 sasa.Mwanzo wa kilimo mbwembwe kama zako kawaida sana, kikubwa punguza machepele kijana!
Post No. 23Nalirudia swali tena
Hiyo mbegu ya maparachichi unachukua muda gani mpaka kuvuna?
Kuumizwa ni kawaida kwa maisha ya sasa..Umeumizwa kwenye mahusiano, pole kwa hilo, utakua sawa tu,
Piga kazi uoe, uenjoy maisha ya dunia.
Everything starts with your mind.Kama hajaelewa hapa basi tena
Kila MTU ana njia yake aliyoichagua maishani ambayo anaona NDIO IMFAAYO.Ni afadhari mninyonge ila papuchi siachi , kazi na bata