Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

Kama Watu walikuwa wanalipa around laki 3 na inawachukuwa Tanesco miezi zaidi ya Mitatu kuja kukuunganishia huduma ya Umeme, sasa hii elf 27 tutarajie kuunganishiwa Umeme zaidi ya Miezi sita baada ya kulipia!
Je ukilipa milioni1 watakuunganisha mapema zaidi?
 
Acha tuanze kuyapunguza masalia ya mwendazake,afete na Ditto Biteko.
 
Umeme ni huduma ya msingi haiangalii tabaka
 
Waziri yupo sahihi, Duniani kote miundombinu hujengwa na kodi. Halafu tozo na kodi kwa watumia miundombinu hufuaata baadae.
 

Mkuu The Boss, kwa ID yako umeandika kwa kujiamini ila nyuma yako umeficha kusudio lako.

Kalemani, kama walivyo Mawaziri wote, hutoa maagizo yaliyojadiliwa na kukubaliwa kwenye Baraza la Mawaziri.

Kuhusu tafsiri ya mjini, Ilala naamini imetolewa kama mfano.

Ni vyema tuwe tunasikiliza hotuba na maagizo yaliyomo kwa umakini
 
Acha tuanze kuyapunguza masalia ya mwendazake,afete na Ditto Biteko.
Doto biteko na tume ya madini kwa kushirikiana na mgodi mkubwa wa barrick, Huku nyamongo tarime wamefanya kuujumu wachimbaji Wadogo wenye leseni . Tutalirusha hewani soon. Tuko kwenye utafiti na ufuatiliaji usiku na mchana ili kupata majibu sahihi ya kumjulisha Mh. Rais SSH.
 
Kwa hapo itakuwa kakosea,
Kwa wa mijini labda angepunguza kutoka Tsh. 321000 hadi 121000/=
 
Mm naona mleta mada una wivu kwasbb weww uliunganishwa kwa laki tatu!

,[emoji23][emoji23][emoji23]achokifanya waziri siyo matakwa yake ni utekelezaji wa kile kilichokubaliwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri acha umburula wako.
 
Mkuu Tanesco ni hotspot na ndio kichaka cha wanasiasa Kuvuna Mitaji ya kisiasa mana kina Mgusa mwananchi direct kabisa, Systems za TPA na TRA zilifeli ulisikia kelele za wananchi leo LUKU siku tatu iko down, Kelele kila kona
 
Na sasa anataka mtu hata aliejenga fremu 40 za biashara nae alipe elfu 27.
Au ghorofa Upanga la apartment 40 alipe elfu 27.. imagine that
Mkuu Serikali ina vyanzo na namna nyingi ya kujiongezea/kujipatia mapato. Wanaweza kupunguza huku shs kumi kule wakaongeza shs thelathini yaani mara tatu zaidi. Mf tunaweza kuona unafuu kwenye umeme lkn tukaumizwa kwenye petroli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…