Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

Nilitaka nikutukane nimekosa neno la kukuambia

Acha nikusaidie hili jamaa ni jinga sana..

Yaan haliangalii hao matajir ni wangapi tz nzima na masikin walio shindwa kulipa iyo lak Tatu ni wangapi mpk leo....sisi matanzania tuna roho mbaya sana yan maisha yana rahisishwa mwingine anainga jinga sana hilo
 
Mleta mada kafikiria nje ya boksi.
Mbona ilitakiwa iwe bure kabisa ili iwe na wateja wengi ndo mapato yataongezeka. Kumbuka makampuni ya simu yamewahi gawa kadi bure ili kuongeza wateja. Vodacom wao wakaenda mbali zaidi wakati wanaanzisha huduma za miamala ilikuwa ukiweka kiasi Fulani Cha hela unaongezewa % Fulani. Nimeambie kampuny gani hapa nchini inaongoza kuaminiwa kwenye miamala jibu ni Vodacom hivyo hata tanesco ikiwa na wateja wengi mapato yatakuwa Mara dufu.
Pia hata Bei ya matumizi inatakiwa iwe sawa na kule kijijini.
 
Ukiunganisha wengi utapata mapato.

Tanesko itakufa kwa kutegemea mapato ya kuunganisha umeme.

Kinachotakiwa wateja waunganishiwe haraka ili walipie bili na kutumia(hapa ndipo mapato yalipo)

by the way umeme huo wa 27000 ni single phase
Ooh
 
Mkuu The Boss , hongera, sana, this is works of power!.
P
 

Je baada ya hiyo bei kushuka takribani Miezi mitatu sasa wateja wana unganishiwa umeme Kwa wakati?? Tanesco Kama taasisi walikuwa na maandalizi na hii bei mpya?? Je Tanesco Kwa ujumla wake Hali yake ya uchumi ikoje?? Ukipata haya majibu utakuwa Kwenye nafasi ya kutetea hicho unacho kisema?
 

Kulinganisha talatibu Za jinsi kampuni za simu zinavyo unganisha wateja na TANESCO talatibu Za kuunganisha wateja ni vitu viwili tofauti.Pia ukilinganisha thamani ya line ya simu na na thamani za material tanayo tumika ili mteja wa umeme aunganishiwe umeme ni vitu viwili tofauti.Mteja wa simu una nunua simu wewe Kwa hela yako ila mteja wa Tanesco upewe Kwa hela hiyo??
 
Na sasa anataka mtu hata aliejenga fremu 40 za biashara nae alipe elfu 27.
Au ghorofa Upanga la apartment 40 alipe elfu 27.. imagine that
Rates za gharama ya umeme ni tofauti, pia mita nyingi zimeongea mapato ya kodi ya jengo!
 
umeme ni basic needs.
Ila kwa Tanzania Sasa imekuwa anasa.
Umeme wa rea ulikuwa wa msaada.
 
Ukiunganisha wengi utapata mapato.

Tanesko itakufa kwa kutegemea mapato ya kuunganisha umeme.

Kinachotakiwa wateja waunganishiwe haraka ili walipie bili na kutumia(hapa ndipo mapato yalipo)

by the way umeme huo wa 27000 ni single phase
Ha ha
 
.
 
Ona jinga lenzio ili lilikuwa linapinga leoleo-tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…