King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Haya maelezo (namba 2) umeyatoa wap? Waziri kasema sehemu zote kasoro ilala ambako hata hawahitaji kwa sasa
Watu wanapindisha sana maelezo as if ni vishoka wa TANESCO ili waendelee kunufaika,Kuna mwingine twita akaanza kupotosha kwamba elfu 27 ni kwa sehemu ya mradi mpya kama kwenu mradi ushapita na ulikuwa haujaunganishwa basi gharama ni zile zile 320k ukitaka kuunganganishwa(Upotoshaji).
Tangazo linasema kuunganishwa umeme kwa bei mpya ni 27k mjini na vijijini isipokuwa Dar city centre gharama zitakuwa zile zile.