Sometimes ukitaka majibu ya uhakika hatua ya kwanza ni kuwauliza wahusika (direct from the horses mouth) na kama una alternative kuliko kuwasubiri wajibu hapa jaribu kupiga simu / kuwatembelea ofisi zao za karibu.Wajibu tu huku huku si wapo? Watuambie gharama zimepanda lini kimya kimya?
Wana majibu gani sasa huko kama sio kujibiwa swala lako tunalifanyia kazi halafu unakaa wiki nzima hadi uwatafute, cha msingi wafikiwe kwa namna yeyote ile na wamefikiwa maana hapa JF si wapo? Wajitokeze watoe jibu maana hapa naelekea twitter account ya mama samia kueleza wizi huu maana huko pia wapo na huwa wana respond haraka tu.Sometimes ukitaka majibu ya uhakika hatua ya kwanza ni kuwauliza wahusika (direct from the horses mouth) na kama una alternative kuliko kuwasubiri wajibu hapa jaribu kupiga simu / kuwatembelea ofisi zao za karibu.
Kitakuwa kiwanda/workshopMmh elfu 4 ua napata unit 11 iyo mita gani tena
Sio mita bali ni kundi(tarrif)4, kwa watumiaji wadogo.(0-75 units) kwa mwezi.Mmh elfu 4 ua napata unit 11 iyo mita gani tena
Sh. 5000 unit 41 ndo ninayoifahamu na kuitumia.Hiyo yako ilikuwaje kwani wote wanaotumia tarrif 4, kwa 10, 000 huwa ni units 77 tu!!hili lako ni jipya
Hapana mwisho huwa ni 10, 000 unapata units 77!!kwa hizo 82, ndio na mimi nashangaaIyo elfu 10 kwa tariff 4 ama 0 mbona haiendani na hela iyo,nijuavyo mie ni kuwa Taiff 4 mwisho wa kununua ni elfu 9 na unapata unit 75,sasa izo 82 unapataje mwenzangu
Huwa nafanya hivi baada ya kuona hiyo hasara huwa nalipa tsh 5000 napata unit 41 halafu nanua tena tsh 5000 napata unit 41 jumla napata unit 82 inakuwa afadhari kuliko unit 77 kwa tsh 10,000 kwa mkupuo.Hapana mwisho huwa ni 10, 000 unapata units 77!!kwa hizo 82, ndio na mimi nashangaa
Unavyonunua ivyo unanunua ndani ya mwezi huo huo naomba nielewe hilo.Huwa nafanya hivi baada ya kuona hiyo hasara huwa nalipa tsh 5000 napata unit 41 halafu nanua tena tsh 5000 napata unit 41 jumla napata unit 82 inakuwa afadhari kuliko unit 77 kwa tsh 10,000 kwa mkupuo.