Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio kwenda na kurudi, nikahisi pengine niushamba wangu namna ya kukata ticket online pengine sijui, nikaamua niwapigie simu ✈️ majibu yako ni kwamba bei niliyo iona ndio hiyo hiyo, zaidi ya 700k Tsh.
Miaka miwili nyuma niliwahi kufanya safari ya Mpanda to dar kwa gaharama ya Tsh 200k na chenji kidogo
Mimi nilihisi pengine naweza kusafiri kwa gharama ya Tsh 300k lakini kwa hiyo 700k sina ujanja kwa kweli. Kesho naenda kukata ticket ya bus 79k.