Hii ndo sababu?ila hiyo 700k nina wasiwasi alikuta inakaribia kujaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo sababu?ila hiyo 700k nina wasiwasi alikuta inakaribia kujaa
Hizo best offer zinatumika online kama chambo na huwa zinatangazwa kubakia nafasi mbili au tatu tu lakini ni sawa na majibu wanayotoa kuwa ndege imejaa wakati wakikulazimisha uchukue tiketi ya bei kubwa ambayo inacheza kwenye laki saba.Wengi mnapenda kulalamika bila utafiti mbona bei ni kuanzia 340k View attachment 3021572
😄😄😄 Hapo kwenye kodi kununua gari ndo sielewagi.Nchii hii ina ujinga mwingi, hata magari, unanunua gari million ishirini na kodi uwe na ishirine nyingine 😂😂 yan hii biashara hata kuzimu haiwezekani
Kama hawalipi nauli, tiketi au risiti wanaitoa wapi?uliwahi kuonyeshwa tiketi au risiti?
Jitahidi kuwahi walau wiki 3/4 kabla unaweza pata ahueni flaniNilikuwa nakata ticket Leo, safari ni tar 29 mwezi huu
Labda alitaka BusinessWengi mnapenda kulalamika bila utafiti mbona bei ni kuanzia 340k View attachment 3021572
Sio chamboHizo best offer zinatumika online kama chambo na huwa zinatangazwa kubakia nafasi mbili au tatu tu lakini ni sawa na majibu wanayotoa kuwa ndege imejaa wakati wakikulazimisha uchukue tiketi ya bei kubwa ambayo inacheza kwenye laki saba.
Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio kwenda na kurudi, nikahisi pengine niushamba wangu namna ya kukata ticket online pengine sijui, nikaamua niwapigie simu ✈️ majibu yako ni kwamba bei niliyo iona ndio hiyo hiyo, zaidi ya 700k Tsh.
Miaka miwili nyuma niliwahi kufanya safari ya Mpanda to dar kwa gaharama ya Tsh 200k na chenji kidogo
Mimi nilihisi pengine naweza kusafiri kwa gharama ya Tsh 300k lakini kwa hiyo 700k sina ujanja kwa kweli. Kesho naenda kukata ticket ya bus
Inawezekana tickets za economy zinaisha haraka na hivyo kulazimisha kuuza tickets za Business class. Hata hivyo bado kuna dosari kwenye mfumo wa ticketing wa Air Tanzania.Sio chambo
Ukichagua unapata nafuu kweli
Ama ulitaka Business ticket?
Sio hiyo bei mkuu..... soma comment yangu hapo juuLabda pia ni kuporomoka kwa thamani ya sarafu ya tshs dhidi ya sarafu za kigeni mfano dola.
Mmh tangu lini box la kura la TZ nikatuliza hasira za Watanzania!!!Kelele ni nyingi,pelekeni hasira zenu kwenye box la 2025
Dar to Dubai ni bei gani?Nauli kubwa kuliko hata ya Fly Dubai Dar to Dubai kwa masaa matano angani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu unalipa hiyo laki 7 safari nzima wanaishia kukupa kipakti cha korosho na kahawa..[emoji1]
Yani uafrika hasa utanzania ni laana..[emoji37]
Songea pia inatua.Kwanza booking yenyewe umekosea, ndiomana kuna maagent. Unaemda dar ila hapo nikisoma ni mpanda dar na ndiomana nauli ipo juu hivo. Lkn pia kwa ushauri chukua dar mbi kata week 2 kabla ya safari nauli ni kitonga. Kama ukiweza nifate inbox nikuhudumie nahusika na hizo kaz mkuu, au weka namba ntakuchek. Ahsante.
Angalizo sina uhakika wa ndege za Tc kutua mpanda, huenda zatua maramoja moja ndiomana bei inakuw kubwa. Nyanda za juu ndege hutua mby tuu nnavojua.