Gharama za usafiri Air Tanzania zinatisha

Kata ya flight hadi Mbeya!, pale chukua kibasi cha Mpanda mkuu.
Mbali sana kuitafta mpanda kutokea mbeya huo muda bora upande dar tabora kisha mpanda au moja kwa moja kutoka dar to mpanda

Binafs mtuamiaji sana wa hii njia
Na sio mpanda ndege tangu fastjet ife ndege imekuwa adui ni mara moja tu nadhan ruti ya mpa da
 
We
Nilikuwa nakata ticket Leo, safari ni tar 29 mwezi huu
Wewe una hela ya bwerere. Nenda tu. Air Tanzania na precision ni bei ya juu sana. Walikomeshwa na ile Kampuni Rais Magufuli aliwafukuza. Bei kwa basi kwenda mbeya ilikuwa 45000 na ile fast jet 55,000. Air Tz na mwenzake zaidi ya 100,000. Nadhani kufidia natumizi mabovu ya ndege zetu. Mabovu kwa viongozi kusafiri bure, kutolipa nauli cash, kutojitokeza kusafiri wakati walishaweka oda ya kusafiri na kufanya ndege ipate hasara. Hapa nashauri viongozi walipe kabla wanapofanya booking. Hapa nimewahi kupanda ndege ATC uwanjani mwanza wakati walisema mpaka saa 10 ofisi za mjini kuwa ndege imejaa. Nilishauriwa na mtu niendd uwanjani, Nilikuta kuna viti vingi tu hakuna abiria mwaka 2010. Wawe macho na hili. Hata hivyo PRecision walikoma baada ya ATC KUFUFUKA maana waltuacha Mwanza na kufanya safari za Nairobi bila kujali abiria wa ndani
 
Hii tabia wanayo sana
Wanasema siti zimejaa ukienda airport unakuta siti ziko empty nyingi tu.Ni jipu hili yaani wale wenye connection airport wakiambiwa zimejaa ,wanaenda airport wanapata siti
 

Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~~~~ Magufuli
 
Halafu na bora sasa huduma zingekuwa vizuri, ticket ya saa moja unaondoka saa saba mchana, hawaombi radhi hawasemi tatizo nini ni kingereza tu cha mdada anasogeza muda wa kuondoka utadhani ulikata ticket bure, si mchezo.
 
Mkuu usihangaike, nenda kapande S.G.R saa 1 utakuwa umefika mpanda town. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…