Gharama za usafiri Air Tanzania zinatisha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bei ingekuwa nafuu wateja wangekuwa wengi
Labda wanatafuta namna ya kulipigisha shoti ili walibinafsishe..kama kwenye projects nyingine ambazo tulismbiwa ni white elephant lakini muda huu wanazitaka!!!
Lakini, ange book mapema sana na ikawa two way ingepungua
 

Kama kuna agent unamfahamu mfuate!! Utakupunguzia bei chini ya hapo!!

Watanzania watu wa hovyo sana, agents wanachofanya wanabook ticketi almost zote ili zipande gharama wao waziuze bei juu na kupata faida kubwa!! Hii nchi ya hovyo sana!!
 
Duh!hatari sana.halafu mama anapanda dream liner letu peke yake Bure kwenda kuzurula huko ulaya na kwingineko kishangaa maghorofa.
 
Wakati Malawi Air kutoka Daslm kwenda Johannesburg kupitia Blantyre ni Tsh 638,000 tu tiketi moja nauli za ndege bongo ni kiboko aisee inawezekana na kodi pia zipo juu ndio imefanya nauli kuwa juu maana Tanzania ndege ni starehe kama magari na kikokotoo cha TRA..
 
Naongezea BUBELE express saa Moja usiku
 
wanachokosea kila kitu wanapiga kwa dolari
 
Hii ni kampuni ya ccm kutumia pesa za walipakodi kuendesha shirika mufilisi..yani hiyo laki 7 ni ticket oneway ya kwenda dubai au SA...unategemea kwa akili ndogo za ccm hilo shirika linakufa mda sio mrefu
 
Mkuu mbona ukiangalia ni $ 128 kama Tsh 336,000
 

Attachments

  • Screenshot_2024-06-21-01-42-54-658_com.android.chrome.jpg
    468.6 KB · Views: 5
Kwa bei hiyo sa si bora nitembee tu kama Musa na wana wa Israel

Kama single abiria anatoa 700K inakuwaje kwenye ukaguzi wa CAG anakutana na hasara kwenye hilo shirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…