residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kuifurusha Fastjet isifanye biashara Tanzania ni ubaya au uzuri!!??Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~~~~ Magufuli
Bado safari ihairishwe hata kwa masaa 4 bila maelezo ya kutosha π΄π΄π .
Unafika sawa na watu waliopanda bus
Akikujibu nishtueKuifurusha Fastjet isifanye biashara Tanzania ni ubaya au uzuri!!??
Huwa wanakata kwa kupigia hesabu gari unayonunua ni mpya.πππ Hapo kwenye kodi kununua gari ndo sielewagi.