Nyamufanco
Member
- Oct 14, 2020
- 22
- 27
Acha watumalize. Siku hizi mitandao ni sehemu ya maisha kwa kila mtu. Na wengine biashara zao zipo huko. Kuongeza gharama za vifurushi ni kutuua kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni size yako ya tigo ha ha na mimi ndiyo naponea humu mkuu
for me hayo mabadiliko yana almost three weeks nw...Haya mabadiliko ni very recent na sio muda.
Hii wakiitoa line naitupaHii ni size yako ya tigo ha ha na mimi ndiyo naponea humu mkuu
aiseeHata Voda nmeangalia leo ile ofa ya buku 3 Gb 2.2 hamna tena
Hata mimi hii size yako ndio ujanja wangu vinginevyo nisingetoboa [emoji23]Hii ni size yako ya tigo ha ha na mimi ndiyo naponea humu mkuu
Tigo sasa hivi ndiyo pekee mpo kwenye hali nzuri yaani kw buku jero wkt voda Gb 1 kwa buku mbili ila nadhani watotoa soon ili wote tuimbe wimbo mmoja.Hata mimi hii size yako ndio ujanja wangu vinginevyo nisingetoboa [emoji23]
Hiyo imeanza tangu mwaka Jana mwezi wa 10 mbona tumepigwa Sana halafu serkali ipo tuNi muda mkuu, toka mwaka jana
Au kuna wachache tulianza kupigwa mapema🤷🏽♀️
HakikaAcha watumalize. Siku hizi mitandao ni sehemu ya maisha kwa kila mtu. Na wengine biashara zao zipo huko. Kuongeza gharama za vifurushi ni kutuua kabisa
Usitupe siku hizi ujanja ndio kuwa na line nyingine mbadala maana hawachelewi madaliko huku wakiminya unahamia upande wa pili kwenye auheni kwngine unapumzika na mimi hiyo ndiyo mbinu yng ila safari nimebanwa mbavu kote sina pakutokea naonea wivu wa watu wa tigo.
Recent kwako mkuu wengine hadi tushazoeaNimenote mabadiliko ndani ya muda usiozidi siku 5. Hivyo ni recent.
Kama hawaoni vile smdhHiyo imeanza tangu mwaka Jana mwezi wa 10 mbona tumepigwa Sana halafu serkali ipo tu
Mtandao gani huu mkuu? Bila shaka itakuwa vodacom maan hawa jamaa ni wapumbavu kuliko maelezo. Halaf hii mitandao wanatufanyia u senge wote huu lakini TCRA wamekaa kimya. Inasikitisha sana.
Ni mwendo ule ule, umafia wa kimya kimya, kwa Voda na Tigo wameanza kutesti mitambo kwa kkupunguza GB za vifurushi vya mwezi.
Kuanzia sasa tutegemee lolote, hii ni trailer tu, bado muvi kamili ya machinjo yatayofanyika kimya kimya gizani usiku wa manane, nadhani tunaweza kuamka asubuhi mabadiliko kadha na kadha yakiwa yamedanyika kwenye vifurushi vingine.