PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

PreGE2025 Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu nitaanza kua nawauliza Juu ya Elimu zenu.

Kidato Cha Nne na Sita, ulifauli vipi?.Chuo Kikuu umesoma kipi? Kada gan? Ufaulu wako ukoje??

Napata wasiwasi sana, Vijana wa CCM ni wajinga wajinga walopitiliza , na ni hatari zaidi watu wa aina hii kua viongozi.
 
Nilisema lissu tunampa miezi 6 tu chama kitamshinda
Wakuu nitaanza kua nawauliza Juu ya Elimu zenu.

Kidato Cha Nne na Sita, ulifauli vipi?.Chuo Kikuu umesoma kipi? Kada gan? Ufaulu wako ukoje??

Napata wasiwasi sana, Vijana wa CCM ni wajinga wajinga walopitiliza , na ni hatari zaidi watu wa aina hii kua viongozi.
 
Kama John Heche ni mhuni unatarajia nini kutoka kwa walinzi wake.
Wakuu nitaanza kua nawauliza Juu ya Elimu zenu.

Kidato Cha Nne na Sita, ulifauli vipi?.Chuo Kikuu umesoma kipi? Kada gan? Ufaulu wako ukoje??

Napata wasiwasi sana, Vijana wa CCM ni wajinga wajinga walopitiliza , na ni hatari zaidi watu wa aina hii kua viongozi.
 
Hivi Sasa Chama kimejaa madkteta uchwara. Ni Pombe na ngumi. Wanawake kaeni chonjo.
 
Wakuu nitaanza kua nawauliza Juu ya Elimu zenu.

Kidato Cha Nne na Sita, ulifauli vipi?.Chuo Kikuu umesoma kipi? Kada gan? Ufaulu wako ukoje??

Napata wasiwasi sana, Vijana wa CCM ni wajinga wajinga walopitiliza , na ni hatari zaidi watu wa aina hii kua viongozi.
Mimi nakujibu kwa kifupi tu kwamba nimesoma course Moja na John Heche SAUT (Wakati huo akiitwa WEGESA CHARLES) 2006 -2009 tukijiita EDUCHE (Kama upo jirani naye muulize kuhusu EDUCHE 2006/2009) na GPA yangu huyo WEGESA CHARLES haifikii hata kidogo.

Swali jengine?
 
Umesoma "course moja" naye, lakini hiyo inakufanya ujue GPA yake, kwa nini?
Wewe umebaki kuwa "mtoto wa shule" mwenzio hata ubunge alisha ukwaa, na sasa ni Makamu wa chama kikuu. Sasa tueleze ni GPA ipi yenye manufaa zaidi kati yenu wawili!
 
View attachment 3284001
Katika kile kinachoonekana kama mgawanyiko unaokua ndani ya CHADEMA, taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Siglad, alipigwa na walinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche. Tukio hilo lilitokea usiku wa jana mkoani Njombe, katika kikao cha ndani cha chama hicho.

Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa vurugu hizo zilitokea baada ya mabishano makali kuhusu masuala ya uongozi na mwelekeo wa chama, ambapo Siglad alionekana kutofautiana na mtazamo wa kundi linalomuunga mkono Heche. Walinzi wake walidaiwa kumpiga kwa nguvu na kumdhalilisha, hali iliyosababisha taharuki miongoni mwa wanachama waliokuwepo.

Mpasuko Unazidi Kuonekana
Tukio hili linadhihirisha mpasuko unaozidi kujitokeza ndani ya CHADEMA, hasa kati ya viongozi wanao unga mkono kususia uchaguzi na wasio unga mkono kususia uchaguzi. Mgawanyiko huu unaonekana kuchochewa na siasa za makundi ndani ya chama hicho, ambapo viongozi mbalimbali wanapambana kuonyesha ushawishi wao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Tayari baadhi ya wanachama wa CHADEMA wameanza kuhoji uhalali wa matendo ya walinzi wa viongozi wa chama kutumia nguvu dhidi ya wenzao. Swali linalojitokeza ni je, kuna demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho au ni utawala wa mabavu kwa wanaokosoa baadhi ya viongozi?

Wito wa Haki na Uwajibikaji
Wachambuzi wa siasa wanaona tukio hili kama ishara ya migogoro ya ndani inayoweza kudhoofisha CHADEMA katika maandalizi yake ya uchaguzi. Wanachama na viongozi wa chama wanapaswa kujitathmini ili kuhakikisha kuwa tofauti za kisiasa haziishii kwenye matumizi ya nguvu, bali zinatatuliwa kwa njia za kidemokrasia.

Hadi sasa, uongozi wa CHADEMA haujatoa tamko rasmi kuhusu tukio hili. Je, hatua gani zitachukuliwa dhidi ya waliohusika? Je, CHADEMA itaweza kudhibiti migogoro ya ndani na kuonyesha mfano wa demokrasia wanayoihubiri? Muda utaamua.

Tamko la Jeshi la Polisi, bofya hapa ~ Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa
CCM mnasiasa za kishamba sana. Ipasueni CHADEMA kwa kufanya maendeleo kiasi kwamba wananchi wawaone nyie tu

Siasa mnazo dili nazo ni za nyuma san
 
Heche aende kumjulia hali Katibu Mwenezi wa Bawacha. Wamsikilize machungu yake na kuyafanyia kazi ingawa hajifichi kuwa wao hawakuwa chaguo lake. Wasifanye upendeleo hata kidogo katika hili. Wamkamate aliyempiga na wamkabidhi kwa polisi. Aidha, watoe tamko la kulaani matendo kama haya.

Amandla...
 
Umesoma "course moja" naye, lakini hiyo inakufanya ujue GPA yake, kwa nini?
Wewe umebaki kuwa "mtoto wa shule" mwenzio hata ubunge alisha ukwaa, na sasa ni Makamu wa chama kikuu. Sasa tueleze ni GPA ipi yenye manufaa zaidi kati yenu wawili!
Kwa maana yake unajua Mimi ni nani sio?
 
Mtu anaamini Heche ni kiongozi kwangu mm afadhali ya mwehu. Heche hafai kuwa kiongozi ktk ngazi yoyote ile. Nimeangalia mahojiano kupitia EATV hakuna mtu pale.
Makala, Babu Wasira na Samiya ndio wanafaa?
 
Kwa maana yake unajua Mimi ni nani sio?
Ninajuwa GPA yako haikuwa na maana yoyote. Sitashanga sana kama ni hizi GPA za kutengenezwa tu kwa njia moja au nyingine.
Kwa maana hiyo, unaweza kuwa umeshikilia nafasi muhimu serikalini au ndani ya CCM ambayo huna uwezo nayo. Haya tunayaona kila sehemu enzi hizi za "huyu ni mwenzetu"!
 
View attachment 3283987
Jana usiku tar 26/03/2025 mjini Njombe kwenye kikoa cha ndani inasadikika Makamu Mkiti CHADEMA John Heche ameamuru au kuruhusu Kupigwa Kwa Siglada Mligo, mkazi wa Njombe, Wakili na Katibu Mwenezi Wa BAWACHA TAIFA, kwa kuwa alipishana naye kwenye kikao na kwa kuwa alikuwa timu Mbowe. Mlinzi binafsi wa Heche ndiye ametekeleza shambulio hilo. Aidha Hache anametumia muda mwingi kumsafisha na kumnadi Rose Mayemba ambaye wana CHADEMA Njombe walishamkataa.
View attachment 3283997
Wakili analia lia!
 
Watu wa haki za binadamu mko wapi
 
Attachments

  • VID-20250327-WA0256.mp4
    12.1 MB
  • VID-20250327-WA0255.mp4
    8 MB
Swali linalojitokeza ni je, kuna demokrasia ya kweli ndani ya chama hicho au ni utawala wa mabavu kwa wanaokosoa baadhi ya viongozi?​
Hili ni swali la msingi sana!. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!
Pia niliwahi kuuliza Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Hizi mambo za Chadema kupigana na kuumizana hazikuanza leo Matunda ya uanzishwaji wa Red Brigade ya CHADEMA yameanza kuonekana kwa vitendo!
P
 
Hayo ni matokeo ya uchaguzi wao mkuu uliokuwa umegawika pande mbili za mbowe na lissu. Kundi la mbowe ndio wanaendeleza figisu ndani ya chama chao, wamekosa adabu na heshima. Wanaendeleza makundi hata baada ya uchaguzi. Walitakiwa wawasikilize viongozi wao wapya wanasema nini kuhusu siasa zao nje ya chama
 
Back
Top Bottom