Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Umeanza kupost tena simulizi za kubuni but different
Ni story ya kweli Mkuu.
Vijana mjipange muache janjajanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kupost tena simulizi za kubuni but different
si ambao hatuna geto tunaishi kwaku unga unga ila pisi kali zinadata nasisi tukomenti wapi?
Ningeshangaa asiliwe 😂 Sema umeruka tuta maana alianza kukukataa nguvu za kiumeee
sawa mkuu ila kwenye hiyo choko mbaya badilisha iwe choka mbaya.ni hilo tu mkuuZinakudanganya Mkuu.
Zijadata Kwa sababu hazijajua ukweli.
Hakuna Mwanamke anayependa mwanaume Maskini na choko Mbaya asiye na Mbele wala Nyuma. Huyo Mwanamke hayupo na hajawahi kuumbwa
sawa mkuu ila kwenye hiyo choko mbaya badilisha iwe choka mbaya.ni hilo tu mkuu
Poleni sana...
Hii ni kweli kabisa mimi kuna single mama mmoja aliniambia hivyo hivyo kuwa siendani na ninapoishi ila sikumtilia maanani. Na huo ndo ukawa mwisho wa yeye kuja getho kwangu, tatizo hakujua kama namalizia mjengo wangu ndio maana nikawa naishi pale. Mpaka leo sijawahi kumtafuta tena maana alikua ni one night stand.
Ndio ungemwambia sasa mpambane kwa juhudi ili mjenge kwenu pazuri zaidi muachane na redio za kisukuma!!
Kwa hiyo unaogopa Kaka au?yaani MTU ambae mmepanga muoneshane na mzigusanishe nyuchi zenu kabisa,,unaogopa kumwambia tupambane,,kwani yeye anafikiri vinapatikana kiurahisi,,,ingekuwa vinapatikana kiurahisi asingeuza uchi na kukosoa kiurahisi rahisi mambo yasiyo mhusu!!Hivi pisikali unaanzaje kuiambia mjenge wote. Hautakuwa Serious Kabisa