Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

si ambao hatuna geto tunaishi kwaku unga unga ila pisi kali zinadata nasisi tukomenti wapi?
 
Ningeshangaa asiliwe 😂 Sema umeruka tuta maana alianza kukukataa nguvu za kiumeee
 
Binafsi kumleta gettho/home dawiri wa one night stand kidogo sioni kama imekaa vizuri. Fujo zote nivyema kumalizia guest, lodge au hotel. Fiancee kidogo angalau.
 
Zinakudanganya Mkuu.
Zijadata Kwa sababu hazijajua ukweli.
Hakuna Mwanamke anayependa mwanaume Maskini na choko Mbaya asiye na Mbele wala Nyuma. Huyo Mwanamke hayupo na hajawahi kuumbwa
sawa mkuu ila kwenye hiyo choko mbaya badilisha iwe choka mbaya.ni hilo tu mkuu
 
Hii ni kweli kabisa mimi kuna single mama mmoja aliniambia hivyo hivyo kuwa siendani na ninapoishi ila sikumtilia maanani. Na huo ndo ukawa mwisho wa yeye kuja getho kwangu, tatizo hakujua kama namalizia mjengo wangu ndio maana nikawa naishi pale. Mpaka leo sijawahi kumtafuta tena maana alikua ni one night stand.
 
Demu anadhani ukimtongoza ndio unataka kumuoa. Na Wanawake wengi hufikiri vile akuonavyo ndio utakuwa hivyo milele
 
Ndio ungemwambia sasa mpambane kwa juhudi ili mjenge kwenu pazuri zaidi muachane na redio za kisukuma!!
 
Hivi pisikali unaanzaje kuiambia mjenge wote. Hautakuwa Serious Kabisa
Kwa hiyo unaogopa Kaka au?yaani MTU ambae mmepanga muoneshane na mzigusanishe nyuchi zenu kabisa,,unaogopa kumwambia tupambane,,kwani yeye anafikiri vinapatikana kiurahisi,,,ingekuwa vinapatikana kiurahisi asingeuza uchi na kukosoa kiurahisi rahisi mambo yasiyo mhusu!!
 
Back
Top Bottom