Back in 1987 Pale MidlandTexas mtoto mdogo Jessica alidumbukia mwenye kisima chenye urefu wafuti 22 na upana wa inch nane tu. Yule dogo alikuwa na miaka 2 tu zilitumwa rescue efforts kutoka Marekani nzima, baada ya masaaa 58 dogo wakatoa akiwa mzima na baadhi tu ya michubuko. Najiuliza sisi tunweza?.?? Uhai wa mtu mmoja tu tena mtoto unachukua attention nchi nzima. Wenzetu wameendelea sana na wametuacha mbali.
Kwenye majengo yote ya umma wamefunga seisimic Building detectors ambazo zina sense kama jengo linataka kuanguka dakika kadhaa kabla linatoa LED alart ili watu watoke. Incase of fire wamefunga smoke detectors kila nyumba, kama kuna ajali ya moto ziki detect automatically zinazozima umeme hapohapo kupunguza balaa, na hizi ni Innovation wanafanya wanafunzi wa vyuo vyao. Sisi vyuo vyetu ndio kwanza hiyo Daruso mwenyekiti wao ana push ajenda za moja ya chama cha siasa.
Kazi kweli kweli.