Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
nadhani sisi ndio tunatakiwa tuiokoe serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema mazito Kwa maneno sita tu.nadhani sisi ndio tunatakiwa tuiokoe serikali
Tunashughulikia kuhakikisha rufaa xq wqpinzani hazifiki popote kwanza. Si wamekosea majina yao?Kinacho waangamiza waafrika sana sana ni ujinga, uzembe na umaskini.
Jamaa anapenda makelele sana. Alisema bia bila makelele ni sawa na juisi tu.Halafu unakuta wabongo wasio na ujuzi wala sababu wanajazana hapo, na mkuu wa mkoa anawaambia eneo lina usalama mkubwa.
Hii nchi hii.
huu sio muda wa porojo nduguHalafu unakuta wabongo wasio na ujuzi wala sababu wanajazana hapo, na mkuu wa mkoa anawaambia eneo lina usalama mkubwa.
Hii nchi hii.
Nani anapiga porojo?huu sio muda wa porojo ndugu
Hiyo sio suluhisho utanyonga wangapi sasa yaani ni sawasawa kutokee ajali ya moto katikati ya Manzese gari ya Fire ishindwe kupenya halafu unyonge watu wote waliojenga maeneo hayo wakati watu wa mipango miji hawana habari wamezubaa tuNashauri mwenyewe na mkandarasi wake wapigwe kitanzi tu hadharani itakuwa fundisho.