MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Wenzetu yakitokea maafa km haya wakigundua kua kuna watu,hua wanachimba shimo lakuweza pitisha hata maji kwanza ili watu waweze pata huduma ya kwanza ssa hapa vijana wanatumia sururu kuwaokoa wenzaoMamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa.
Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
View attachment 3153856
Si mmesema wanasaidia kuokoa watu zima moto hawajui kazi yaoHalafu unakuta wabongo wasio na ujuzi wala sababu wanajazana hapo, na mkuu wa mkoa anawaambia eneo lina usalama mkubwa.
Hii nchi hii.
Wanachukua kontenti..Halafu unakuta wabongo wasio na ujuzi wala sababu wanajazana hapo, na mkuu wa mkoa anawaambia eneo lina usalama mkubwa.
Hii nchi hii.
Wasipoangalia hilo zoezi la kusaidia kuokoa kwa kutumia watu wasio na ujuzi linaweza kuongeza vifo.Si mmesema wanasaidia kuokoa watu zima moto hawajui kazi yao
Ongeza na ujuaji, tamaaKinacho waangamiza waafrika sana sana ni ujinga, uzembe na umaskini.
Inasikitisha bora kufa kwa kuumwa lakini uku unajiona ni mbaya kabisa unaishiwa pumzi uku unaona kabisaWasipoangalia hilo zoezi la kusaidia kuokoa kwa kutumia watu wasio na ujuzi linaweza kuongeza vifo.
Intelligensia ya kisiasa ya uvunjifu wa amani!alafu kila siku tunajinasib eti tuna intelligence ya maana ,au viongozi wamaaana hiyo task force ya kodi je usalama kariakoo ndo bisiness center ya taifa na mambo yanafanyika kiholela holela hivyo jee sehemu nyingine vp tunaonyenshwa sign loopholes zetu zilipo kila siku ila tumekuwa wagumu kuelewa na kutake action my fellow tanzanians were lost na nchi yetu imeoza ......watanzania wenzetu wanalala chini yakifusi usiku wa leo ujinga wetu unatugharimu mungu tusaidie saidia na watu walioko chini ya kifusi wape tumaini
hata ya utekaji ni ujinga mtupuHatuna Task Force ya Uokoaji bali Task Force ya Kuteka Watu hiyo ipo very effective.
Tunaomba updates ndugu maana kuna jamaa zetu huko then sie tupo mbali.Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa.
Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
View attachment 3153856
Wapi huko uliona janga la watu kufukiwa na kifusi linachimbwa shimo la kupitisha maji?Wenzetu yakitokea maafa km haya wakigundua kua kuna watu,hua wanachimba shimo lakuweza pitisha hata maji kwanza ili watu waweze pata huduma ya kwanza ssa hapa vijana wanatumia sururu kuwaokoa wenzao
Hilo shimo kwanini lisitumike kuwatolea hao watu badala ya kuwaingizia Maji ...Wapi huko uliona janga la watu kufukiwa na kifusi linachimbwa shimo la kupitisha maji?
Wengine huko wameshaanza kusema mama amelishughulikia suala la kariakoo kwa haraka sana japo yupo safariniUtasikia Boom mama kaagiza waendelee wasi sitishe hadi wamalize watu wote..
Haya ni maneno mazito mno kwa watu wenye kutafakariBack in 1987 Pale MidlandTexas mtoto mdogo Jessica alidumbukia mwenye kisima chenye urefu wafuti 22 na upana wa inch nane tu. Yule dogo alikuwa na miaka 2 tu zilitumwa rescue efforts kutoka Marekani nzima, baada ya masaaa 58 dogo wakatoa akiwa mzima na baadhi tu ya michubuko. Najiuliza sisi tunweza?.?? Uhai wa mtu mmoja tu tena mtoto unachukua attention nchi nzima. Wenzetu wameendelea sana na wametuacha mbali.
Kwenye majengo yote ya umma wamefunga seisimic Building detectors ambazo zina sense kama jengo linataka kuanguka dakika kadhaa kabla linatoa LED alart ili watu watoke. Incase of fire wamefunga smoke detectors kila nyumba, kama kuna ajali ya moto ziki detect automatically zinazozima umeme hapohapo kupunguza balaa, na hizi ni Innovation wanafanya wanafunzi wa vyuo vyao. Sisi vyuo vyetu ndio kwanza hiyo Daruso mwenyekiti wao ana push ajenda za moja ya chama cha siasa.
Kazi kweli kweli.
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Kinacho waangamiza waafrika sana sana ni ujinga, uzembe na umaskini.