Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,083
Ukusanje bilioni 10 kwa mwaka kwa uwekezaji wa bilioni 50? Tulipigwa fiksi kubwa sana hapi,Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Majengo ya serikali lifetime yake ni 50+ years sasa ukijenga jengo linajaa mwaka mmoja huo mradi utakuwa na maana au ni mradi feki maana yake utakuwa unajenga Bus Stand kila mara hufanyi vitu vingine. Ni akili za kijinga tu anaweza fikiria hivyo.Yote haya yamesababishwa na huyu bibi kushindwa kuimalizia stendi ili kama ilivyokuwa imepangwa badala yake huyu bibi anashadadia vitu vyepesi na visivyo na faida Kwa nchi
Swali lako la kuwa stendi unauza nini? Inaonyesha kuwa hauna Exposure umezaliwa kazuramimba unaona watu wanaenda na mafuta ya mawese stendi wanasafiri nayo kwahiyo haujui kama kuna biashara nyingine zinaweza kufanyikaStendi hata fremu ziwe Bure unauza nini? Haya wanaomiliki hii stendi wao Wameshindwa kutafuta akili za kutumia?
Hivi kumbe Tuna stendi Inaitwa JOB NDUGAI, Dah! Hivi Walifkiria Nini awa jamaa?Nenda kwenye Jengo la Stendi kuu la Job Ndugai Dodoma. Floor ya juu ipo wazi na mbaya zaidi ceiling tiles zimeanza kudondoka.
Naunga mkono hoja.Wapunguze kodi ya pango tu
Zitajaa
Ova
Mimi nimewahi jiuliza magorofa kama yale stand kwa ajili ya kazi gani?!stand na magorofa wap na wap nikabid nkae kimya mana dunia ina mengi nisije banwa pmb na plaiz bureHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Stand ya chato ukifika utaliiiia unyenyuke uende zakoChato Airport nayo imegeuka uwanja wa kuanika nafaka.
Umewahi Kufika stend ya mabasi ya johannisburg sio powa chini juu maduka kibao migahawa ni full kila kitu sisi ndo atujaweka mambo SawaMipango mizuri ipi wakati alishaharibu? Hakuna Cha Mpango mzuri ndio maana nimesema Serikali iache kujenga Majengo ya gorofa kwenye stendi.
Kazi ya stendi ni kushusha na kupakia,majengo ya gorofa ya mabilioni ni ya nini?
Fikiria miaka 10 mbele, sio unawaza kwa urefu wa puaHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
JPM aje arudishie tiles, au sio?Nenda kwenye Jengo la Stendi kuu la Job Ndugai Dodoma. Floor ya juu ipo wazi na mbaya zaidi ceiling tiles zimeanza kudondoka.
Hivi huoni aibu kila siku kuhangaika na JPMHii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Vipi Daraja la Kigongo?View attachment 3276634
Hata hili linakuja kuwa hasara tu