CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.
Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye nahisi ameotesha kama urembo tu make kwanza ana dili na Kahawa.
Hizi tunazo ziona mitaani ni takataka, Giant Bamboo kwanza ni full green rangi na ni kubwa mno sasa napata picha kwamba kuna nchi wanazitumiaga hadi kama nguzo za umeme.
Ni bahati mbaya sasa kupata mbegu zake ni shughuri kubwa sana. Wazungu wenyewe ni wakorofi sana wale sidhani kama wanaweza toa hata kikonyo kimoja.
Ila nitajaribu kumsomesha tufanye Barter trade moja anipatie vikonyo, akikataa nitongea na vijana wake wa kazi wanichomolee kadhaa hawatakaa na uzur nina namba zao.
Giant Bamboo zinalimwq sana Asia hasa India na China huko