Giant Bamboo, ni kubwa mno size pungufu ya nguzo za umeme na size sawa kabisa na nguzo za TTCL enzi zile.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.

Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye nahisi ameotesha kama urembo tu make kwanza ana dili na Kahawa.

Hizi tunazo ziona mitaani ni takataka, Giant Bamboo kwanza ni full green rangi na ni kubwa mno sasa napata picha kwamba kuna nchi wanazitumiaga hadi kama nguzo za umeme.

Ni bahati mbaya sasa kupata mbegu zake ni shughuri kubwa sana. Wazungu wenyewe ni wakorofi sana wale sidhani kama wanaweza toa hata kikonyo kimoja.

Ila nitajaribu kumsomesha tufanye Barter trade moja anipatie vikonyo, akikataa nitongea na vijana wake wa kazi wanichomolee kadhaa hawatakaa na uzur nina namba zao.

Giant Bamboo zinalimwq sana Asia hasa India na China huko
images - 2024-07-03T071453.693.jpeg
 
View attachment 3032173

Nguzo za umeme siku hizi hawatumii miti tena, ni concrete zenye nondo kubwa na zege, nguzo za miti Tanesco wameachana nayo..!!
 
Hii mbegu unaweza kuipata Njombe na Makete
 
Hizi zinatumika kwa matumizi mengi sana huko Asia ikiwemo chakula, furnitures, urembo na usafiri wa majini pia!!
Yes, na pia wana. export. kwenda nchi za Ulaa, yaani wanazikata wanaweka kwenye Makontena wana Export
Nguzo za umeme siku hizi hawatumii miti tena, ni concrete zenye nondo kubwa na zege, nguzo za miti Tanesco wameachana nayo..!!
zinatumilq bado, kusambazia umeme wanazitumia, za Zege ni za kusafirishia umeme
 
Ukiingia Youtube ndio utaona matumizi ya hiyo mianzi. Kuna products nyingi sana zinazalishwa kwa kutumia mianzi.
 
Jana nilishuhudia kwa mara ya kwanza Giant Bamboo, aisee zile Bamboo sio za kawaida ni kubwa mno na very heavy, nilikuwa naziona tu kwenye picha,ila jana ndio nikaziona kwa macho sio za kawaida kabisa.

Kuna mzungu Arusha USA River anazo na jana nilibahatika kufika kwake nikakutana nazo. Yeye nahisi ameotesha kama urembo tu make kwanza ana dili na Kahawa.

Hizi tunazo ziona mitaani ni takataka, Giant Bamboo kwanza ni full green rangi na ni kubwa mno sasa napata picha kwamba kuna nchi wanazitumiaga hadi kama nguzo za umeme.

Ni bahati mbaya sasa kupata mbegu zake ni shughuri kubwa sana. Wazungu wenyewe ni wakorofi sana wale sidhani kama wanaweza toa hata kikonyo kimoja.

Ila nitajaribu kumsomesha tufanye Barter trade moja anipatie vikonyo, akikataa nitongea na vijana wake wa kazi wanichomolee kadhaa hawatakaa na uzur nina namba zao.

Giant Bamboo zinalimwq sana Asia hasa India na China huko
View attachment 3032173
Samahani kama una picha zaidi tuweze kuitambua au kama umefanikiwa kupata jina la hiyo mbegu.
 
Mizuri Sana Sana
Je Ni Tofauti Na Hii Iliyojaa Tanzania
 
Back
Top Bottom