Hatimaye yule mbunge mwenye makeke bwana Mike Gidion Mbuvi (Sonko) ameukwaa Usenetor wa jiji la Nairobi! Natumaini mtakua mnamkumbuka sana kwa mambo yake ya Usharo*****
Ni kati ya watu niliopenda washinde!! Si kwa sababu ya bling lakini ni aina tofauti ya viongozi ninaowafahamu!! Ni mtu anayeonesha connection sahihi kati ya kiongozi na muongozwa - he identifies with the electorate ktk maisha ya kila siku.
Immediate former Makadara MP Mike "Sonko" Mbuvi of TNA has been elected Nairobi's first senator. Mbuvi won with 808,705 votes, followed by Housing assistant minister and immediate former Starehe MP Margaret Wanjiru of ODM who garnered 525,8222 votes. Stanley Livondo of UDF was third with 19,287 votes.
The Nairobi governor race was won by Evans Kideo od ODM with 692,483 votes, followed by Ferdinand Waititu of TNA who had 617,839 votes (READ MORE:Evans Kidero Elected Nairobi's First Governor).
Kinachohitajika ni utekelezaji wa Mipango ya maendeleo baasi , kwa utafiti nilioufanya unaonyesha kuwa wanaongoza kwa wizi na kutokuaminika ( most of them ) ni wale wanaovaa SUTI !! wakiwemo Viongozi wa kisiasa, mawaziri , wabunge , maharusi nk