Gidion Mbuvi Sonko Aukwaa Usenetor Wa Jiji la Nairobi

Gidion Mbuvi Sonko Aukwaa Usenetor Wa Jiji la Nairobi

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Hatimaye yule mbunge mwenye makeke bwana Mike Gidion Mbuvi (Sonko) ameukwaa Usenetor wa jiji la Nairobi! Natumaini mtakua mnamkumbuka sana kwa mambo yake ya Usharo*****
 
Yule mbunge machachali kule kenya anaye ingiaga bungeni amenyoa kiduku awa seneta wa jijij la nairobi ameshinda kwa kishindo
 
naona wanasali,ni walokole nini?MUNGU NI MWEMA
 
sonko+(36).JPG
 
Ni kati ya watu niliopenda washinde!! Si kwa sababu ya bling lakini ni aina tofauti ya viongozi ninaowafahamu!! Ni mtu anayeonesha connection sahihi kati ya kiongozi na muongozwa - he identifies with the electorate ktk maisha ya kila siku.

Bravo Sonko!!
 



Immediate former Makadara MP Mike "Sonko" Mbuvi of TNA has been elected Nairobi's first senator. Mbuvi won with 808,705 votes, followed by Housing assistant minister and immediate former Starehe MP Margaret Wanjiru of ODM who garnered 525,8222 votes. Stanley Livondo of UDF was third with 19,287 votes.

The Nairobi governor race was won by Evans Kideo od ODM with 692,483 votes, followed by Ferdinand Waititu of TNA who had 617,839 votes (READ MORE:
Evans Kidero Elected Nairobi's First Governor).
 
Ninachompendea, He had a flair to connect with citizens. Dunia kwa sasa inahitaji pia wanasiasa kama yeye.

We are tired of old boy society.
 
Sasa nairobi mlegezo ruksa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mike mbuvi gideon sonko_ senator wa kwanza nairobi
sonko.jpg
sonko (31).JPG
sonko (8).JPG
sonko (31).JPG
sonko (22).JPG
 
Kinachohitajika ni utekelezaji wa Mipango ya maendeleo baasi , kwa utafiti nilioufanya unaonyesha kuwa wanaongoza kwa wizi na kutokuaminika ( most of them ) ni wale wanaovaa SUTI !! wakiwemo Viongozi wa kisiasa, mawaziri , wabunge , maharusi nk
 
tunashindwa kutofautisha mavazi na utendaji kazi ndo mana watanzania tunaingia mkenge kwa kuchagua eti mtu ana sura nzuri au kijana pumbavu sana sisi
 
Back
Top Bottom