[emoji1] [emoji1] [emoji1] hatari kaka..Made in Nyakyusa
Sio kwa muktadha huo...bila kujali mzazi yuko wapi, kama mtoto alilelewa kwa maadili mema hawezi kuja kuharibika ukubwani, ziko kesi za namna hiyo lakini si nyingi....wazazi na walezi mara nyingi ndio huwa chanzo cha hata yote
Si umeona point ilipo sasa alishashindikana kwa wazazi kumbuka mtoto umleavyo....Napingana nawe mkuu kwa dunia hii ya utandawaz mtalaumu bure wazazi toto km gigi limeshindikana lenywe mzazi hpo afanye nn utapga utapeleka polic mwsho wa cku utamwachia Mungu ambadilishe au ndo mpka kufa asubr hesabu zke!!!!!!!!
maisha ya kuonyesha utupu wao...hivi aakiwa ndo mama wa mtoto wako inakuwajeHapana nasemea watu wanao ponda kuhusu huyo demu na staili yake ya maisha, si sawa kila mtu humu ana aina yake ya maisha na si lazima impendeze kila mtu... Mtu akiona Supu haimfai kunywa anaenda kula mtori tu sio ishu
Nklikuwa nashauri tupunguze unafki
yani mi nashindwa kuelewa kabisa,au hawana watu wazima wanaowaheshimu jamani,ni aibu gani hii kwa vijana wa leo jamani!Hivi hawa watoto hawana wazazi, ?
utajijuAkiwa na hajawa na mimi nina standard zangu lakini hazinifanyi nikampangia mtu jinsi ya kuishi
Mipashoutajiju