Giggy Money aja na SUPU

Giggy Money aja na SUPU

Dah, huyu mtoto kazi anayo aiseeee..

Juzi kati kasema eti hapendagi kabisa kugegedana, kwa staili hizi kugegedwa lazima
 
Ukitaka kupata mashabiki wengi fanya jambo lisilo la kawaida haijalishi jema au baya....na Hakuna umaarufu pasipo skendo...!!!
 
Sio kwa muktadha huo...bila kujali mzazi yuko wapi, kama mtoto alilelewa kwa maadili mema hawezi kuja kuharibika ukubwani, ziko kesi za namna hiyo lakini si nyingi....wazazi na walezi mara nyingi ndio huwa chanzo cha hata yote

Napingana nawe mkuu kwa dunia hii ya utandawaz mtalaumu bure wazazi toto km gigi limeshindikana lenywe mzazi hpo afanye nn utapga utapeleka polic mwsho wa cku utamwachia Mungu ambadilishe au ndo mpka kufa asubr hesabu zke!!!!!!!!
 
Si umeona point ilipo sasa alishashindikana kwa wazazi kumbuka mtoto umleavyo....
 
Hapa inapatikana Supu ya mkia....
Maisha yanatafutwa by any means. Chura & supu
 
Hapana nasemea watu wanao ponda kuhusu huyo demu na staili yake ya maisha, si sawa kila mtu humu ana aina yake ya maisha na si lazima impendeze kila mtu... Mtu akiona Supu haimfai kunywa anaenda kula mtori tu sio ishu

Nklikuwa nashauri tupunguze unafki
maisha ya kuonyesha utupu wao...hivi aakiwa ndo mama wa mtoto wako inakuwaje
 
Back
Top Bottom