Giggy Money aja na SUPU

Giggy Money aja na SUPU

Umeshanunua supu ya [emoji196] [emoji196]
IMG-20151127-WA0044.jpg

napata hii we dogo
 
na nina undugu na watanzania wenye akili timamu, hawa na mashoga hata ......awe ni kutoka kwenye tumbo la mamangu achilia mbali utanzania sitakuwa na undugu naye ....

mwanangu
hatakaa aione hii avatar maana ikifika wakati wake nitaiondoa .. atakuta picha ya mamvi hapo

ni mkeo nini?unafyagilia chafu huu kama ni dadako anaanika makalio hivyo utadhangilia tu.......................
kwa hiyo gigy money ni shoga ? Mbona unatapatapa ,unamsema vibaya mtoto wa mwenzio wakati avatar yako inaonyesha huna tofauti naye Hongera nyie ukoo wenu mmezaliwa watakatifu nyie ndio wale wana israel 144000 mtakao irithi mbingu ? Halafu sikua namtetea Gigy kwa anayoyafanya ila hoja yangu ilianzia pale uliposema huna undugu na watanzania wauza naniliu
 
soma vyema
 
siku hz mziki na uchi ni complementary goods kama vile gari na petroli
 
kwa kweli huyu dada analizalilisha kabila mama angu, hv nan anaempa sifa za kwamba ana mapaja mazuri?
 
Back
Top Bottom