The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Unataka watu wafe kwa pressure weweHapo ndio Sinza kwa wajanja?? Giggy money sio mzima kutakuwa kuna kitu kinampa stress,kutoka body body ya 8GB mpaka 1GB ghafla kutakuwa na issue tu...#Ni_Kazeze
Bibie hebu naomba Kapicha nione hii rangi kwa Binadamu huwa inakuaje..,kuna siku shilawadu walivamia kwa navikenzo ,nilistuka rangi ya mwonekano wa aika kama ndizi choma..
hahahah aisee....maskini wenye majina makubwa, sijui hela za fiesta kazipeleka wapi
hahaha simu yangu inagoma kutuma pichaBibie hebu naomba Kapicha nione hii rangi kwa Binadamu huwa inakuaje..,