Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True walahiPale dishi linapo yumba lazima pumba kama izii zionekane
BangiliiiHivi Huyu Kichwa chake kipo Sawa Kweli
OkayEti naye ni staa
Kama Gigy Money ni "mrembo", basi inabidi nikaanze upya darasa la Kiswahili. Tena fasta!!Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.
"Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja, lazima nizae na mtoto wako wa kwanza halafu wewe utakuwa bibi wa mwanangu ndio utaniheshimu. Atakuwa mama Mkwe wangu na hatoamini, mimi nitapita na mwanae wa kwanza na nitazaa naye," amesema Gigy Money.
Kauli ya muimbaji huyo inakuja ikiwa ni muendelezo wa beef kati ya warembo hawa, Gigy na Zari