miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Sidhani kama huyo Giggy anadhalilika..
Ni kukosa haya kulikopitilizaBaada ya kuona mwenyekiti wa ubuyu Jamiiforum warumi anatumikia BAN nimeona bora nijaribu taaluma yake
Mtangazaji maarufu wa choicefm katika kurasa yake huko Instagram ameamua kuonesha ukichaa wake baada ya kupost video akichorwa tattoo ya kwenye a$$
Mtangazaji huyo wa kipindi cha lavidavi ambaye inafahamika ni mtu wa kupenda 'kiki' amepost video hiyo na kuandika 'my new tattoo'
Hivi wanawake huwa tunafikiria nini?huu ni upumbavu ndio maana tunadhalilika kila siku
I feel sorry kwa boyfriend wake moj
shauri yakeHahahhh
Yani ni anajidhalilisha sana
ngoja ni comment kama wewe:Dah nimecheki hiyo video kweli huyo binti shetani kamtoa aibu kabisa.
We ndo umeongeagiggy ni changu doa ofisi yake mtandaoni
yeah,sasa hayo anayofanya Giggy hapo yatawafanya wanawake mfikie maazimio ya Beijing unahisi?Aah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja ni comment kama wewe:
ooooooohooo!
Ndio vichaa wote walivyoAnapenda kuchukua attention ya watu
Mpeni ushauri nasahashauri yake