Giggy money ndani ya new tattoo

Giggy money ndani ya new tattoo

Baada ya kuona mwenyekiti wa ubuyu Jamiiforum warumi anatumikia BAN nimeona bora nijaribu taaluma yake

Mtangazaji maarufu wa choicefm katika kurasa yake huko Instagram ameamua kuonesha ukichaa wake baada ya kupost video akichorwa tattoo ya kwenye a$$

Mtangazaji huyo wa kipindi cha lavidavi ambaye inafahamika ni mtu wa kupenda 'kiki' amepost video hiyo na kuandika 'my new tattoo'

Hivi wanawake huwa tunafikiria nini?huu ni upumbavu ndio maana tunadhalilika kila siku

I feel sorry kwa boyfriend wake moj
Ni kukosa haya kulikopitiliza
 
Linaona aibu sijui alikula kabla ya kuchora!
 
Mimi kusema kweli simpendi, lakini ananipendeza tu pale anapoonyesha maungo yake MUADHAMA, nusu uchi huku anavojishebedua, na hisi chaji yangu ina jaaa...
 
Back
Top Bottom