Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
wewe hujajibu swali languSio sana ila it takes hours to finish like 4hours
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hujajibu swali languSio sana ila it takes hours to finish like 4hours
Katika jamii za kiarabu wanasema ukimsifia sana mtu maana yake unaomba fadhila kwake.Hahahah
Ukweli usemwe asee mkaka ana sauti nzuri sana
Kama kweli mume si angekwambilia chumbani... Sasa kwa taarifa yako na yake.. Usipoonekana humu tutakusaka hata kwa kwa satteliteHun kuanzia kesho siingii tena hili jukwaa halinifai kweli
Mi sio muarabu wala moj hana asili hiyoKatika jamii za kiarabu wanasema ukimsifia sana mtu maana yake unaomba fadhila kwake.
Usinielewe vibaya Joanah.... Nilikuwa nakusudia yule unaemsifia utamfanya aathirike na wewe... Hata Mimi ungenisifia bichwa lingevimba na pengine ningetupa mshipi Ha ha ha ha ha ha.Mi sio muarabu wala moj hana asili hiyo
Alafu kuna kijimsemo pia kinasema kizuri kisifie ,kama napenda kitu nakisifia . .wala siombi fadhila kwa anayesifiwa
Sana kama ya Millard vile afu ni handsome ofcoz[emoji2] [emoji2]Anaonekana mpole kweli
Alafu ushamsikia akiongea?ana sauti fulani hivi amazing[emoji85]
hii forum uliyoposti hizo tattoo zako inaitwaje??Wewe ni mwanamke?
Yeye ameamua kujichora tatoo huko akiwa Hana Ukichaa wala hali ya kurukwa na Akili.Baada ya kuona mwenyekiti wa ubuyu Jamiiforum warumi anatumikia BAN nimeona bora nijaribu taaluma yake
Mtangazaji maarufu wa choicefm katika kurasa yake huko Instagram ameamua kuonesha ukichaa wake baada ya kupost video akichorwa tattoo ya kwenye a$$
Mtangazaji huyo wa kipindi cha lavidavi ambaye inafahamika ni mtu wa kupenda 'kiki' amepost video hiyo na kuandika 'my new tattoo'
Hivi wanawake huwa tunafikiria nini?huu ni upumbavu ndio maana tunadhalilika kila siku
I feel sorry kwa boyfriend wake moj
Kwani wamefanya wangapi? "Kwanini umesema hivi dada zako" ?Nimeiona insta duuu mzizi wa aibu ulisha katika
Hivi dada zangu mnafikiria nn kufanya vtu kama hvyo, yaan kama ni dada yangu leo ningemla mchemsho
Actually mm nina wadada 3 na wote wapo under 14yrs so niliposema dada zangu nilimaanisha hawa wasichana au nimekosea mkuu..Kwani wamefanya wangapi? "Kwanini umesema hivi dada zako" ?
I only got to "generalisation" kind ofActually mm nina wadada 3 na wote wapo under 14yrs so niliposema dada zangu nilimaanisha hawa wasichana au nimekosea mkuu..
Sidhan kama kuna manufaa wanoyo yapata kwa kupost ule utumbo
Ndagufashe wa kihunguI only got to "generalisation" kind of
°Nimeassume hapendiYeye ameamua kujichora tatoo huko akiwa Hana Ukichaa wala hali ya kurukwa na Akili.
■ Maswali mafupi:
Why are you feel sorry to her Boyfriend? Unajuaje yeye amependezwa na hali hiyo?
Amejichora yeye kwanini uumie wewe?