Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Haya hizo ndo taratibu za afrika, hivi wewe unazijua taratibu za afrika na unazifuataSio lazima tufuate maadili ya waarabu, sisi ni waafrika tuna maisha na taratibu zetu. Anyway, hukatazwi kuhamia Afghanistan.