christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
Umeshawah fika huko au unahadithiwa????Nenda nchi za waarabu kafanye vile uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshawah fika huko au unahadithiwa????Nenda nchi za waarabu kafanye vile uone
Uhuru wa kutoa uzivuke mipaka, wapemba hawaabudu warabu iishie hapo, nyinyi mnaabudu wazungu? Huyu Gigi money kavaa style ya kizungu sio ya kisukuma wala kichaga ivo atakuwa anaabudu wazungu cio?Kwani waarabu ndio nani? We unafikiri watu wote tunaabudu waarabu kama Wapemba.
wakili msomi msando albertHuwa simpendi huyo dem.ivi inawezekana kuna mtu anamzimia huyo dem??!!
Akamatwe kafanya kosa gani?Huyu hajakamatwa? Huu ni uchochezi kabisaaa
Uhuru wa kutoa uzivuke mipaka, wapemba hawaabudu warabu iishie hapo, nyinyi mnaabudu wazungu? Huyu Gigi money kavaa style ya kizungu sio ya kisukuma wala kichaga ivo atakuwa anaabudu wazungu cio?
Bongo bahati mbaya,mwanza hapoHivi hapo Ni ulaya au Ni hapa hapa Tanzania? Naombeni jibu.
Akajue jinsi maadili yanavyozingatiwa, l
Grow upKwani waarabu ndio nani? We unafikiri watu wote tunaabudu waarabu kama Wapemba.
Huwezi jua labda ni mmoja wao ila ana mission anakamilisha!! Unakumbuka issue ya msando??Duuh umalaya huu jamani TiSs waliangalie hili
Hapa sio arabunNenda nchi za waarabu kafanye vile uone