Handsome man
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 880
- 956
Haya hizo ndo taratibu za afrika, hivi wewe unazijua taratibu za afrika na unazifuataSio lazima tufuate maadili ya waarabu, sisi ni waafrika tuna maisha na taratibu zetu. Anyway, hukatazwi kuhamia Afghanistan.
Hii gari itabidi ikaoshwe na maji ya upako aisee, maana ishatiliwa nuksigigy money bado anaendeleza uchizi wake ndani ya mwanza car wash party baada ya kutoa wimbo wake unaoitwa "nampa papa". Shughuli anazofanya gigy kama msanii Basata itabidi walivalie njuga.
Haya hizo ndo taratibu za afrika, hivi wewe unazijua taratibu za afrika na unazifuata
Kavae magome ya miti basi kama mababu zakoNdio
Anaitia janaba eeeh..Anaosha gari au anachafua? Mi nafikiri hiyo gari ikitoka hapo ndio ikaoshwe.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Anaosha gari au anachafua? Mi nafikiri hiyo gari ikitoka hapo ndio ikaoshwe.
Ugali hautafutwi kwa njia kharam kama ya kuanika usiri kwenye kadamnasiSio mbaya anatafuta ugali kwa njia halali.
Ana maintain figure.Kweli ndio maana wanawake wanapenda Makalio ha ha kumbe wanataka wawe kama giggy mane sio. Mbona giggy tako linaisha??
Mzee mwenzangu, naona unazeeka kibazazi tu.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]Apigwe tu ze duduz maana hamna namna
Jitu lenyewe bazazi unadhani tutalisaidiaje?Mzee mwenzangu, naona unazeeka kibazazi tu.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]