Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Dah,Dom kweli ni shida. Waheshimiwa wengine wanapiga mitungi hadi wanapigana kavukavu klabu..
 
Mi nilipoanza kuona lawyer anashinda insta kupost private life na mengine ya familia yake, nikajua nii swala la muda tu kabla ya kuchafuka.
Yeah niliweka uzi hapa kuhusu ulimbukeni wa lawyer kupagawa na hela za ghafla na umaarufu mavi
 
Sasa unataka kusema nn? Mbona hueleweki wewe msando
 
Ndicho tulichokutuma Udom ukatumie kodi zetu
Kwani matumizi ya kodi ni nini kama si kuzitumia? Mbona bashite anatumia pesa zako za kodi na Zero lake kichwani lakini haikuumi, chuo bila raha mambo hayaendi jirani, sasa hivi tunazilipa
 
kila mwanameke / mwanaume anakua na type yake ya maisha kwa mtazamo wa jambo analokua analisimamia katika mzunguko wa maisha yake.
Giggy ana type zake na watu wa aina yake anatakiwa kuwa nao.......
Msando naye ana type zake na watu waina yake anatakiwa kuwanao ......
 
No.. Nsia alikuwa mchumba wa Albaert na walikuwa wanawania ndoa wote yeye na Jack, wakawa maadui ila msando akachomoa kwa Nsia kimyakimya baada ya picha za nsia kuvuja, sasa picha zake ndio zinavuja bampa to bampa.
Nimecheka kusema mazuri. Eti bampa to bampa. Picha za Nsia hazina ubaya wowote... Siku hizi picha kama hizo zimezagaa mitandaoni. Tena wengine ni watu ambao si malaya na wanapiga picha half naked ( eg. Beyonce). Alijipiga picha kufuraia kazi ya Muumba. Hakuwa anapimwa oil. Kama mkewe aliolewa ki ushindani lazima akomae na hiyo ndoa kwa wasiwasi wa kuchekwa. Nina rafiki yangu anakaribia kufa ndoani maana aliolewa na player na kila mtu alimtahadharisha. Leo anaogopa hata ku share stress zake na hata ndugu akihofia zile za 'tulikukanya hukutaka kutusikia'
 

Issue ni kuwa jamaa sio smart type ya mwanamke ndio chanzo cha yote haya
 
Pesa tamu lakini sio hii. Kuna raha gani kama hapo mke wa Msando kila aendapo watu hawatomtazama kwa heshima, na hiyo yote ni sababu ya kuwa na mume mzinzi!

Heshima ni kitu bora zaidi ktk jamii.

Nifah upuuzi huu umekukera naona umeufungia kazi
 
Hapa.unatikisa ndoa ya mtu mwanawani... Mmmmh... Labda jina liwe la uongo
wala sitikisi kwan huyo aliye nae hajui kwamba kabla yake huyu alikuwa na boyfriend?

anajua kwamba alikuwa nae na izo ni past wameoana wanaish kwa amani na furaha tele na hivi wamebarikiwa usipime.
Mungu ni wa neema sana alimwona Tina akamvuta toka kwenye hili
 
Mbona sioni kama ni ishu ya mtu mzima kumwanga povu hapa..... Ishu ya kawaida sana hiyo..... Ingekuwa kwa mzungu angeonekana mjanja ila kwa africa mnaponda.... Albert anafanya ile kitu roho inapenda....

Msimpangie nini cha kufanya halafu huyo giggy ni malaya tu alitaka apewa lift ya bure Don town up to dar.... no free ride,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…