trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Dah,Dom kweli ni shida. Waheshimiwa wengine wanapiga mitungi hadi wanapigana kavukavu klabu..Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.