Ww vp uliyaka waachane? Ndoa uvumilivu..kwa hy na ww ukikosea na ss wanaume tufanyeje?Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
wanawake sijui shida yetu nini yaani penye ligi ndio tnapataka, pale mwanaume asie na mlolongo wa wanawake akijitosa anadenguliwa, ndio ya Ruge, na Zamaradi, zama kutwa kuchambana na mademu insta kisa ruge, ngoja tuwaone nao mwisho wake.Nimecheka kusema mazuri. Eti bampa to bampa. Picha za Nsia hazina ubaya wowote... Siku hizi picha kama hizo zimezagaa mitandaoni. Tena wengine ni watu ambao si malaya na wanapiga picha half naked ( eg. Beyonce). Alijipiga picha kufuraia kazi ya Muumba. Hakuwa anapimwa oil. Kama mkewe aliolewa ki ushindani lazima akomae na hiyo ndoa kwa wasiwasi wa kuchekwa. Nina rafiki yangu anakaribia kufa ndoani maana aliolewa na player na kila mtu alimtahadharisha. Leo anaogopa hata ku share stress zake na hata ndugu akihofia zile za 'tulikukanya hukutaka kutusikia'
Niffah hii ishu naona unaifuatilia sana, seems alberto aliwahi kukupiga na akakuacha sasa unaona hapa ndipo pa kulipia. But ukweli hakuna ndoa kuvunjika na huu ni upepo tu.Ww vp uliyaka waachane? Ndoa uvumilivu..kwa hy na ww ukikosea na ss wanaume tufanyeje?
Kuna wanawake hawajielewi tu hata uwatandike na bakora, mwanaume anayetaka jicho huyo hakupendi hata kidogo maana asingetaka kukuharibu.Huyu jamaa kazoea haya mambo, yaani pesa ilimpa ujuha akaona kufunua sketi ni akili, mkewe ana kazi ya ziada, ila mimi naona kwa mabinti ambao bado hawajaolewa kujifunza, ukiona mpo wengi kila siku unaambiwa sorry baby, achana na huyo jamaa maana atakuumiza milele 'chizi hua haponi kabisa, halafu wanawake ni wepesi sana kudanganywa kuna video ilikuwa inasambaa whatassp jamaa anafumua marinda binti akaanza kulia baby hunipendi hunipendi, usinifanye huko jamaa likasema BABY NAKUPENDA SANA, kusikia hivyo binti kalegea akawa anamsaidia jamaa kubinua tako na kulia naumia, huku rinda linachnwa, yaani mapenzi haya sijui tu wanwake why yanatuumiza hivi.
Wajinga sana eti asije niacha sasa kama kala mbele katosheka unamgeuzia nyuma ili asiende akitosheka nyuma utampa wapi? Yaani ni bora wamkosee Mungu kwa kungiliwa nyuma kuliko kuachwa na mwanaume?! Wapumbavu zaidi ya upumbavu wenyewe.Kuna wanawake hawajielewi tu hata uwatandike na bakora, mwanaume anayetaka jicho huyo hakupendi hata kidogo maana asingetaka kukuharibu.
Mwanamke anasema kabisa bora nimpe asije akaniacha pumbavu kabisa amekuwa Mungu huyo uogope akuache.
Kwaio kua binadamu wa kiume kunakupa cheti cha kufanya ushenzi ukijua wewe ni baba wa watoto na mume wa mkeo?Mnamuonea tu Msando! Na yeye ni binadamu wa kiume!
Sasa hiyo inamuhusu mke wake. Nyie kelele za nini? Nyie ni watakatifu?Kwaio kua binadamu wa kiume kunakupa cheti cha kufanya ushenzi ukijua wewe ni baba wa watoto na mume wa mkeo?
Basi aendelee kupima oil nyingine zaidi na zaidi
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Haha daah nimekumbuka kile kipindi Ruge kawishiwa happy birthday na zama, ray c na yule dada mwingine. Sasa zama atagombana na wangapi, atulie tu maana na wanawake tulivyo fyatu + fursa kwa Ruge, khaa unabeba tu mimba yako unasubiri child support, zama anune apasuke wenzie hawajali. Kama mwanaume ni malaya utajidhalilisha tu kugombana na wanawake wengine, piga kimya fanya yako au muache kama huwezi.wanawake sijui shida yetu nini yaani penye ligi ndio tnapataka, pale mwanaume asie na mlolongo wa wanawake akijitosa anadenguliwa, ndio ya Ruge, na Zamaradi, zama kutwa kuchambana na mademu insta kisa ruge, ngoja tuwaone nao mwisho wake.
ππππππMnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Uione ili iwaje?Hiyo video ipo wapi?nami nikaione
Umbea mtupu!Ambao hamjaiona video nendeni kwa shilolekiuno_official (shishi boy)
Mimi nimeionea huko.
Mange kaiweka na kuifuta ndani ya sekunde, sijui Msando kampandia hewani? [emoji23][emoji23][emoji23]