Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Watoto wake wakiona inaweza kuwaathiri psychologically. Damn shit!!!
 
Si ndo maana Ndoa zimekuwa prayer project, ni kumuombea tu mume, yeye busy anapima oil kwa kina giggy
Na ndoa ni ya mke(japo kweli tuna nguvu) but sasa ni too much jamani. Basi huyo Mungu haonekani tumeshindwa kumuogopa wala kumuheshimu, basi tu tuzifikirie hizi familia tunazozijenga na kuziona.
 
Na ndoa ni ya mke(japo kweli tuna nguvu) but sasa ni too much jamani. Basi huyo Mungu haonekani tumeshindwa kumuogopa wala kumuheshimu, basi tu tuzifikirie hizi familia tunazozijenga na kuziona.
Aaah tunawaumiza sana watoto wetu honestly. ...
 
Please let Nsia Edmund Swai out of this.
Nsia ni mmachame alijua wazi kbs kwamba hawez kuolewa na mwanaume wa kibosho. wala hata nyumba hawajengi kuelekea kiboosho so alikuwa anapita tu na yy hakumaanisha waoane bhanaa...
ata yale mapicha hakutuma yy.
Duh hv kwenye zile picha jack alikuwepo au? Enzi za ze utamu
 
Hurumia kizazi chote sio cha wanawake tu ndugu. Maana madhara ya haya yanatupata wote japo upande wetu kama umekuwa mwiba mchungu zaidi!!
nikweli lakini kiuhalisia mwanaume amekuwa muamuzi mkubwa sana katika mahusiano
 
na sabb ipo kwann ilikuwa kubwa sana..........
ni kwasabb tulitengua agizo la Mungu.
Mungu akatuacha tuwalinde wanaume
Kuna maswali mengine najikuta yananijia ila basi tu naogopa kukufuru ngoja tu ninyamaze. Imeandikwa "unabii hauna budi kutimia ila ole wake autimizae unabii"[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Gigy kapewa vifungu vya sheria kalainika, kachambuliwa kama sheria povu limemtoka, mkubwa hatishiwi nyau amwage mboga watu wamwage ugali nahisi na ninamashaka kuna video mtu analiwa GOTI 0713 ndio maana anajambisha anaogopa itavuja ushahidi.!
 
Oooooh poor child!!! Unashuhudia mazito ya wazazi wako ktk umri mdogo hivyo ni trauma ya maisha, haitokaa ifutike kichwani mwake.
Kabisa yani.. Aisee hizi ndizo kati ya hasara chache za social networks. Huwezi kuficha aibu yako milele, yaani hizo videos mpaka wajukuu watakuja kuziona babu yao aliyokuwa anayafanya..
 
Mtuombee tu.. Wanawake kama nyie ni nguzo muhimu kwenye familia..

Kuna movie inaitwa "The War Room" ni nzuri sana kwa wanandoa..
Mmh kwa kupenda kuombewa hamjambo. Haya tutawaombea ila nyie jiombeeni pia na epukeni mazingira hatarishi na vishawishi

Ahsante kwa movie, sitotoka kapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom