Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Aisee inshallah atakaa sawa
Mtu wake wa karibu sanaNi nani ake?
Kumbe nilikuwa sijui aiseeMtu wake wa karibu sana
Mtu wake wa karibu sana yani, kwahiyo taarifa za ugonjwa tungeweza kumuuliza yeyeKumbe nilikuwa sijui aisee
Kwani wewe utaishi milele na wewe si utakufa tena unaweza ukafa wewe yeye ukamuacha anaishi,Apumzike kwa Amani Amina.
Low key ndio nini?Huu ndio wakati wa kuwakumbusha wasanii wengine namna wanavyopaswa kuishi, bora uwe mnafiki wa kuishi low key ili itakapofika wakati wa majuto yako upate wa kukusaidia
Ulikuwepo wakati anapandaAtavuna alichopanda
Tuseme Kujishusha, kutokuwa na makuu n.kLow key ndio nini?
Kwa hio alijikweza kwamba ana nini? Maigizo unayajua? Drama yaanTuseme Kujishusha, kutokuwa na makuu n.k
Em tulia kwanza ule ban yako mpaka iishe Ndo uje nikupe muongozo 😂Kwa hio alijikweza kwamba ana nini? Maigizo unayajua? Drama yaan
Kwani hana msaada?Huu ndio wakati wa kuwakumbusha wasanii wengine namna wanavyopaswa kuishi, bora uwe mnafiki wa kuishi low key ili itakapofika wakati wa majuto yako upate wa kukusaidia
Amepata ila kwa kiasi gnKwani hana msaada?
😂😂😂😂Alikua vizuri kwakweli wakati anakuja mjini japo alikua kienyeji kienyeji anavaa michupi mikubwaaaa.....(michupi ya gigy)
Kwani kiasi gani ndio kinatoshagaAmepata ila kwa kiasi gn
Buku mbiliKwani kiasi gani ndio kinatoshaga
Uko cheap sana unaleta inflationBuku mbili