Gigy Money asaidiwe

Kakulia kurasini wazee wa bandari wamejilia utamu mpaka basi mzoefu huyo, nyie mnasema bangi ila huyo hata mzima anakupa kinyeo kama hana akili nzuri hana noma kabisa
 
Nachokiona hapa ni jambo moja tu la msingi ni kuhusu kujirekodi ili zije rushwa mitandaoni haijalishi nani kazirusha. Hayo mengine ni masiha ya mtu na ukizingatia ni mtu mzima ana akili zake. Cha msingi hapa sheria ifate mkondo wake ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia za kujirekodi wakome maana ni kuharibu vizazi vingine hata kama mtoto utamlea namna gani anaweza kukutana na video hizi sehemu ambayo hata hukutarajia.Huyu dada ukiangalia hata kabla ya hiyo video kuvuja amekuwa akijisifia na kupost picha za ajabu sasa kwa tukio hili sishangai kama hakudhamiria na nimesikia pia akisema sijui hiyo video ya mwaka gani yaani ni mtu ambaye anajaribu pengine kuonyesha ni kitu cha kawaida sana ili watu wasahau mara anaibuka tena ili watu wamuonee huruma kwa kudai sijui anamtoto akiona nikajiuliza sasa rekodi ilikuwa ya nini?Hawa wasanii wetu wengi naona ni shida sana na yote haya ni kutaka sijui urahisi wa maisha nashindwa kuelewa. Kibaya leo tunaongelea hili usishangae siku chache mbeleni akaibuka tena mwingine na mambo kama haya au zaidi ya haya. Nilikuwa namuona ni muhuni ila mjanja ila baada ya kusikia haya madudu nimechoka kabisa. Hivi vitu watu wanafanya sawa ila kwa siri ili kulinda heshima zao kwa jamii sasa fikiria leo akipita sehemu watu wanamuangaliaje? Hata wale wanaojiuza sinza wanatoka usiku sababu wanalinda heshima zao maana gizani huwezi mjua ni nani.
 
ishu ya msingi hpa ni kwamba anaambukiza wengine kufanya huo ufuska.. afanye kwa siri basi maana hii sio biashara halali..
Na amefanya kwa siri na ikavujishwa na ikarushwa kwenye apps ya Mange inayolipiwa ambayo kimsingi ni "only for members" hivyo shida ipo kwa wananchi kupenda umbea na kuzidi kuisambaza. Kama mngekemea huko huko mlipoiona ingekuwa poa zaidi kuliko mmeiona kwa siri mkiwa wenyewe kwa wenyewe alafu mnakuja huku kwenye majukwaa ya wazi kujadili issue zenu mlizoziangalia faragha. (In this case, nyie ndo mnaambukiza wengine kwa kutuletea story ambazo hatujaziona)

N.B: KAMA EMBU IRUSHENENI HAPA TUIONE KISHA NDO TUCHANGIE)
 
Hivi kumbe Amber rutty ni mnyakyusa?
 
Wasichana wadogo wanamfuatilia Gigy? Wazazi wao wapo wapi?

Mtoto wako unasubiri afundishwe maisha na gigy au wasanii? Wewe kazi yako ni nini? Mnataka serikali iwafanyie kila kitu. Usipomfunza mwanao maadili atafunzwa na ulimwengu.
Mimi tu na uzee wangu simfatilii namuona km mpuuzi hivi asiejitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…