Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Yeye anauza kwa sababu zake binafsi na inawezekana kabisa anatafuta tu kiki kama ilivyo kawaida kwa wasanii wa bongo, ila nikuulize: wewe hujawahi nufaika na hao wanaoiuza kwa Siri? Kama ni ndio kwanini umhukumu mtu ikiwa wewe una dhambi za kutosha.

Serikali hii haiwezi rekebisha maadili kwasababu imewapa uhuru wasanii ila isipitilize, jukumu la kuwalinda watoto wa kike ni jukumu la wazazi wala sio Serikali.
Jamani hili swala la kuuza ni gumu saana. Ukitafiti utakuta wauzaji ni wengi, lakini wanatofautiana na malipo yanafanywa kwa namna gani! kuna wanaopokea malipo kwa cash, cash na favors, favors peke yake, n.k. Kuna pia wale wanaopokea malipo baada ya service na huo unakuwa ni mwisho wa uhusiano na kuna wanaopokea malipo na uhusiano unaendelea sambamba na maqlipo.
 
Kuna huyu ana balaaa
Screenshot_20231126-192048.jpg
 
Asaidiwe au hatua kali zichukuliwe dhidi yake. Yaani mwanamke akivunja sheria za nchi visingizio huja vingiii oooh ana watoto ameathirika kisaikolojia etc etc, nilishangaa Amber Rutty alihukumiwa miaka sijui mitatu wkt sheria inasema kifungo maisha, Hawa makahaba wanaojifanya wasanii wanatuharibia watoto, sheria kali zichukuliwe dhidi yao.
 
Back
Top Bottom