Gigy Money asaidiwe

Jamani hili swala la kuuza ni gumu saana. Ukitafiti utakuta wauzaji ni wengi, lakini wanatofautiana na malipo yanafanywa kwa namna gani! kuna wanaopokea malipo kwa cash, cash na favors, favors peke yake, n.k. Kuna pia wale wanaopokea malipo baada ya service na huo unakuwa ni mwisho wa uhusiano na kuna wanaopokea malipo na uhusiano unaendelea sambamba na maqlipo.
 
Asaidiwe au hatua kali zichukuliwe dhidi yake. Yaani mwanamke akivunja sheria za nchi visingizio huja vingiii oooh ana watoto ameathirika kisaikolojia etc etc, nilishangaa Amber Rutty alihukumiwa miaka sijui mitatu wkt sheria inasema kifungo maisha, Hawa makahaba wanaojifanya wasanii wanatuharibia watoto, sheria kali zichukuliwe dhidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…