Gigy Money asaidiwe

Jieleze na wewe ni mtu wa aina gani!

Nyie ni mabingwa wa KUCHANGANUA WATU lakini ya kwenu mmeyaficha kwenye KAPU.

Fungua tuyaone na yako! Lamomy
 
Wasichana wadogo wanamfuatilia Gigy? Wazazi wao wapo wapi?

Mtoto wako unasubiri afundishwe maisha na gigy au wasanii? Wewe kazi yako ni nini? Mnataka serikali iwafanyie kila kitu. Usipomfunza mwanao maadili atafunzwa na ulimwengu.
Eti wimbo wa Hanii wa Zuchu unaharibu watoto. Yaani watoto wanaharibiwa na wimbo? Wakati huo wazazi/walezi wao wakiwa wapi?

Kama mtoto wako anaharibiwa na wimbo basi kama mzazi jichunguze sana. Labda hukupaswa kuwa mzazi ulijilazimisha tu 🚮🚮🚮
 
Huyo Gigy ni mtu mzima.

Mwacheni aishi maisha yake.

Kwa nini mnajali sana maisha ya watu wengine? Hamna maisha yenu?

Huyo dada ni mtu mzima. Mwili ni wake.

Akiamua kuuuza, hilo ni jambo lake.

Fair exchange ain’t robbery!!

Leave her alone.
Indeed.

Humu jamiiforums tumebakiza watu wachache sana wenye akili timamu kama wewe.
 
imagine mama yako anaona halafu anavutiwa halafu anaanza kufanya Porn... utafanyaje? utatetea pia?
Inategemeana na akili yake pia na maamuzi atakayochukua kutokana na maarifa aliyokuwa nayo kuhusu hayo matukio, kama ni yeye, hawezi fanya hayo mambo, ila tukiichukua kama mfano wa wanawake wengine, kwanza sijafanya utetezi wa aina wowote ila niliuliza: Je hujawahi nunua watu kama hawa sirini?

Jambo alilolifanya sio sahihi ila chanzo cha tatizo ni wanaume wanaowanunua na kuwapa viburi wanawake, at the end of the day wanawake ni emotional beings, na inawezekana pia wanaume hao wanaowawapa hela wanawalaumu sana. So mi nimejaribu kufikiria pande zote mbili.
 

Sent from my TECNO CI6 using
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…